kumbe kujenga barabara nk ni hisani sio wajibu?kwahyo hizi kodi tunalipa kwa ajili ya MAFISADI tuu?kwahyo wasipoleta maendeleo tusihoji kwakua sio wajibu ni hisani tu? we natamani hata nione sura yako maana nahisi ubongo wako umeoza kama wa nape.
Naam ni hisani na wajibu pia. Bila hisani utatimiza wajibu? mbona wa kabla ya Kikwete hawajatimiza hisani wala wajibu? walikuwa hawana hisani au wajibu? Fikiri.
Wewe ni mzigo.
Wewe una uhuru wa mawazo yako nami nna uhuru wa mawazo yangu. Hasira za nini?
Lazima ujue hichi unachokifanya kitakuhukumu hapahapa duniani
Kwani hao Wabunge wa upinzani si walisema kuwa watawaletea maendeleo wananchi? Inakuwaje wanaiangukia CCM?
Swal lako la kitoto kwl sidhan kama unaupeo wafikra, wabunge ni wawakishi tu wanaotakiwa kuleta maendelea ni serekal hii ya ccm kwa wananchi wake, bac tufanye hv kikwete kachaguliwa na watu milion 5 na haliyakuwa watanzania wapo zaid ya milion 40, xo wahudumiwe hao milio 5 waliomchagua tu? Fikir kwa kichwa chako usifikiri kwa makalio.

Porojo nyingi, miaka 44 ya Uhuru uliona nani kabla ya Kikwete akipeleka maendeleo, Kigoma? Kusini? Tanga, Tabora?
Leo tunayaona huko.
Maendeleo hayaletwi na chama cha siasa bali juhudi binafsi na kujituma. Jiulize utaifanyia nini Tanzania na sio Tanzania ikufanyie nini.Zinduka.
Na wale wezi wanaochaota fedha za umma (ESCROW, EPA, RICHMOND, MEREMETA, DEEPGREEN FINANCE, UFISADI WA BOMBA LA GESI, etc) wao watajiuliza nini?
kwa hiyo tuwaache wezi watafune fedha zetu huku tukijituma kuwatafutia fedha zaidi ili waendelee kutafuna? you must be LUNATIC dude!