CCM mnataka mkisema wengine wasiseme, Haiwezekani!

Mnataka kurudisha zama za Chama kushika Hatamu ambapo wakubwa wakisema watu wengine wote mnatakiwa mfunge vinywa vyenu. Kila siku Hapa JF lazima muanzishe thread dhidi ya Lowassa, lakini mtu akiuliza swali tu kuhusu Magufuli inakuwa Nongwa. Lowassa siyo Kiongozi wa serikali iliyoko Madarakani, lakini Magufuli ni Rais wa nchi. Kumzungumzia Magufuli kwa sasa ni muhimu zaidi kuliko Lowassa, na sisi kama raia tuna haki hiyo.

Bomoa bomoa ya kikandamizaji imefanyika Dar Mbunge wa Kinondoni kaenda Mahakamani, mnahoji kwa nini anapingana na serikali. Mnataka kutujengea picha kwamba serikali inajua kila kitu na iko sahihi wakati wote. Sisi ndiyo wenye serikali bila ya kujali kama tulimchagua Magufuli au la.

Wale mnaodhani kwamba ambao hawakumuunga mkono Magufuli hawana haki ya kumkosoa, jiulizeni hao ambao hawakumchagua huwa hawatozwi kodi? Kama wanatozwa kodi mnawaondowaje kwenye haki ya kuwakosoa wale wanaokusanya kodi toka kwao. Kama vipi Kodi isikusanywe toka kwa wapinzani. Kama wewe ni UKAWA basi usilipe kodi kwa kuwa hukumchagua Magufuli. Hiyo imekaaje ndugu zangu wa CCM?[/
 
MTAZAMO

Umekuwa wa Kawaida sana Nowadays
Huyu sio yule MTAZAMO ninayemfahamu.
Kutoka kuwa Kamanda wa ukweli Mpaka kuwa Mpiga debe wa Magamba kisa ENL katua CHADEMA
Kiukweli kbs mimi sikufurahishwa na Lowasa kuja chamani kwangu lakini hio sio sababu ya kuwakubali ccm iliyojaa maescor
Najua Lowasa atapita chadema itabaki
 
Kumuunga mkono Magufuli kwenye mambo ya msingi hakuna uhusiano na kuiunga mkono CCM ...
 
Hapana siku hizi umeibwaya chadema hoja zako nyingi dhaifu ndio hata kama umshabulii magufuli lakini bado unatakiwa usaidie kujenga chama chadema gia za angani zile ni makosa lakini udhaifu haujakichafua chadema moja kwa moja kwa kuwa uchaguzi umeisha na chadema ipo mpk vijijini na mtandao na sio ya Lowasa bali ya wapenda nchi nakushaur acha magufuli afanye kazi maana hamna namna ndo Rais wetu lakini ww rudi kundin tujenge chama kitakachosimamia serikal
 
Chama kimejisahihishaje? Siasa si ushabiki wa kama simba na yanga hata mkifungwa huami timu ....ikitokea waliotuuza mchana kweupe wakawajibika na kuunda mkakati mpya imani zetu wengine zitarudi lakini si kushabikia tu ....ikifikia mahali swala la uadilifu kati ya CCM na Chadema huwezi kutoa maamuzi mara moja mpaka ujumlishe na kutoa ....hilo ni tatizo ....lazima Chadema isimamie kile inachoamini bila kujali hata uelewa wa wananchi nyakati hizi hadi pale wananchi watapoamua kufanya mabadiliko at any cost ....
 
Bomoabomoa mwanza juu ya milima kitangiri na kwingineko ccm watadhubutu kweli wakati ndiyo nyumbani.
 
Mnataka kurudisha zama za Chama kushika Hatamu ambapo wakubwa wakisema watu wengine wote mnatakiwa mfunge vinywa vyenu. Kila siku Hapa JF lazima muanzishe thread dhidi ya Lowassa, lakini mtu akiuliza swali tu kuhusu Magufuli inakuwa Nongwa. Lowassa siyo Kiongozi wa serikali iliyoko Madarakani, lakini Magufuli ni Rais wa nchi. Kumzungumzia Magufuli kwa sasa ni muhimu zaidi kuliko Lowassa, na sisi kama raia tuna haki hiyo.

Bomoa bomoa ya kikandamizaji imefanyika Dar Mbunge wa Kinondoni kaenda Mahakamani, mnahoji kwa nini anapingana na serikali. Mnataka kutujengea picha kwamba serikali inajua kila kitu na iko sahihi wakati wote. Sisi ndiyo wenye serikali bila ya kujali kama tulimchagua Magufuli au la.

Wale mnaodhani kwamba ambao hawakumuunga mkono Magufuli hawana haki ya kumkosoa, jiulizeni hao ambao hawakumchagua huwa hawatozwi kodi? Kama wanatozwa kodi mnawaondowaje kwenye haki ya kuwakosoa wale wanaokusanya kodi toka kwao. Kama vipi Kodi isikusanywe toka kwa wapinzani. Kama wewe ni UKAWA basi usilipe kodi kwa kuwa hukumchagua Magufuli. Hiyo imekaaje ndugu zangu wa CCM?

Je, una uhakika Wana CCM ndio wanaotaka kurudisha zama za chama kushika hatamu? Toa ushahidi?

Wacha uongo kuna thread nyingi tu za Fisadi papa ooops Jambazi Sugu hakuna anayepiga kelele, chuki zako kwa JPM haziwezi kubadilika hilo halina ubishi, na ndivyo hivyo hivyo kwa wale ambao hawakumchagua Jambazi Sugu. Hiyo haki yako ndio hiyo hiyo na sisi wengine tunayo whether we are CCM au hatuna vyama.

Hakuna bomoa bomoa ya kikandamizi? Je, unaweza kutuwekea ushuhuda hapa kwamba hiyo bomoa bomoa ni ya kikandamizi au umekariri? Watu wakihoji kwa nini anakwenda mahakamani ni sawa kwa sababu wana haki hiyo hiyo ya kikatiba ya kuhoji wanachofikiria, hatuwezi kuwa sawa yaani wote tufikirie kama @Kilewella. Nafikiri wewe ndio unajenga hiyo picha kwamba serikali inafahamu kila kitu, wewe peke yako sio mwenye serikali, serikali ni ya Watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua, waliopiga kura na wasiopiga kura. Kwa hiyo basi hiyo dhana yako ya sisi ni muflisi.

Wacha uongo wako wewe kama hukumchagua JPM shauri yako, mbona kila uchwao mnamkosoa Wacha kupotosha, then unasema msilipe kodi mbona mnachukua ruzuku kutoka serikalini? Swala la kulipa kodi ni la kila raia, and in actual fact, this is too low to discuss.

BTW matumaini yenu ya kuongoza hii nchi bado sana kwa mawazo mgando mliyonayo, chama chenu kimekaa kikabila zaidi, hiyo ni fact ingawa nafahamu utaruka kimanga tu, pili chama chenu kinanunuliwa tu wakati wowote na wenye nacho fact ambayo utakataa. Fact utaibuka na kusema JPM anafuata sera za Upinzani kama ni hivyo kwa nini unalialia kama kasuku?
 
Hii dozi uliyompa kama atakuwa na uwezo wa kuimeza nadhani atapona na kuondoa fikra zake zenye makengeza.

Badala ya kufahamu adui wao kwenye mafanikio ya kisiasa ni fisadi Lowassa ambaye amekinunua chama, kwa sasa wanaanza kulia kulia hapa Jamiiforums.

Kwa sasa fisadi Lowassa tunaambiwa anafanya consultation na genge lake ili kuisuka CHADEMA ili akae kifisadi fisadi.

Hawa watu niwa ajabu sana!
 
Naona huelewi msimamo wangu ...hata JK ni walewale tu na hii si habari ...habari ni waasisi na wachafuzi wakuu wa EL huku wakijinadi kuwa na kila ushahidi leo kugeuka na kusema huyo mtu ni safi na anayesema mchafu apeleke ushahidi ....
Wakati hao wachafuzi wanamchafua Lowasa,ccm walikuwa wanamsafisha na wakwanza ni mwenyekiti wa ccm Jk,2010 alimpigia kampeni monduli na kumsifia kuwa ni jembe na hakuhusika na ufisadi wowote,ni upepo wa kisiasa tu.
sasa leo chadema wamekubali kuwa siyo fisadi baada ya yeye mwenyewe {Lowasa} kueleza kuwa muhusika ni Bosi wake{JK} upande wa pili {ccm}nao wamebadilika kuwa eti fisadi,loh.
 
Je, una uhakika Wana CCM ndio wanaotaka kurudisha zama za chama kushika hatamu? Toa ushahidi?

Wacha uongo kuna thread nyingi tu za Fisadi papa ooops Jambazi Sugu hakuna anayepiga kelele, chuki zako kwa JPM haziwezi kubadilika hilo halina ubishi, na ndivyo hivyo hivyo kwa wale ambao hawakumchagua Jambazi Sugu. Hiyo haki yako ndio hiyo hiyo na sisi wengine tunayo whether we are CCM au hatuna vyama.

Hakuna bomoa bomoa ya kikandamizi? Je, unaweza kutuwekea ushuhuda hapa kwamba hiyo bomoa bomoa ni ya kikandamizi au umekariri? Watu wakihoji kwa nini anakwenda mahakamani ni sawa kwa sababu wana haki hiyo hiyo ya kikatiba ya kuhoji wanachofikiria, hatuwezi kuwa sawa yaani wote tufikirie kama @Kilewella. Nafikiri wewe ndio unajenga hiyo picha kwamba serikali inafahamu kila kitu, wewe peke yako sio mwenye serikali, serikali ni ya Watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua, waliopiga kura na wasiopiga kura. Kwa hiyo basi hiyo dhana yako ya sisi ni muflisi.

Wacha uongo wako wewe kama hukumchagua JPM shauri yako, mbona kila uchwao mnamkosoa Wacha kupotosha, then unasema msilipe kodi mbona mnachukua ruzuku kutoka serikalini? Swala la kulipa kodi ni la kila raia, and in actual fact, this is too low to discuss.

BTW matumaini yenu ya kuongoza hii nchi bado sana kwa mawazo mgando mliyonayo, chama chenu kimekaa kikabila zaidi, hiyo ni fact ingawa nafahamu utaruka kimanga tu, pili chama chenu kinanunuliwa tu wakati wowote na wenye nacho fact ambayo utakataa. Fact utaibuka na kusema JPM anafuata sera za Upinzani kama ni hivyo kwa nini unalialia kama kasuku?
Humo kwenye mistari,nitakupa ushahidi,
moja,wana hati za makazi walizopewa na hiyo hiyo serikali na kodi wanalipa,
Pili walipelekewa miundo mbinu barabara,maji na umeme na wanalipa bili,
Je,huo siyo ukandamizaji?
 
Chama kimejisahihishaje? Siasa si ushabiki wa kama simba na yanga hata mkifungwa huami timu ....ikitokea waliotuuza mchana kweupe wakawajibika na kuunda mkakati mpya imani zetu wengine zitarudi lakini si kushabikia tu ....ikifikia mahali swala la uadilifu kati ya CCM na Chadema huwezi kutoa maamuzi mara moja mpaka ujumlishe na kutoa ....hilo ni tatizo ....lazima Chadema isimamie kile inachoamini bila kujali hata uelewa wa wananchi nyakati hizi hadi pale wananchi watapoamua kufanya mabadiliko at any cost ....
Inaelekea kwa hesabu za kujumlisha na kutoa ulizofanya majibu uliyopata ni kuwa CCM ni waadilifu zaidi kuliko CDM kwa sasa. Ni msimamo na mtazamo. Ni halali na haki yako. Shikilia hapo hapo. Watu wanahama vyama; mashabiki, wanachama na hata viongozi pia, na mifano tumeiona mwaka jana. Hakuna mwenye haki ya kukutuhumu kwa kuhamia CCM.
 
WEWE HUJITAMBUI. NENDA KAWAULIZE CHADEMA KWA NINI WALIMPOKEA MTU WALIYETUTANGAZIA KWA MIAKA NANE KUWA NI.FISADI??????

Sometimes nikisomaga maandiko ya watu kama huyu GAMBA najikuta naiona JF imekuwa kama kijiwe cha watu wa akili ndogo sana
 
Mnataka kurudisha zama za Chama kushika Hatamu ambapo wakubwa wakisema watu wengine wote mnatakiwa mfunge vinywa vyenu. Kila siku Hapa JF lazima muanzishe thread dhidi ya Lowassa, lakini mtu akiuliza swali tu kuhusu Magufuli inakuwa Nongwa. Lowassa siyo Kiongozi wa serikali iliyoko Madarakani, lakini Magufuli ni Rais wa nchi. Kumzungumzia Magufuli kwa sasa ni muhimu zaidi kuliko Lowassa, na sisi kama raia tuna haki hiyo.

Bomoa bomoa ya kikandamizaji imefanyika Dar Mbunge wa Kinondoni kaenda Mahakamani, mnahoji kwa nini anapingana na serikali. Mnataka kutujengea picha kwamba serikali inajua kila kitu na iko sahihi wakati wote. Sisi ndiyo wenye serikali bila ya kujali kama tulimchagua Magufuli au la.

Wale mnaodhani kwamba ambao hawakumuunga mkono Magufuli hawana haki ya kumkosoa, jiulizeni hao ambao hawakumchagua huwa hawatozwi kodi? Kama wanatozwa kodi mnawaondowaje kwenye haki ya kuwakosoa wale wanaokusanya kodi toka kwao. Kama vipi Kodi isikusanywe toka kwa wapinzani. Kama wewe ni UKAWA basi usilipe kodi kwa kuwa hukumchagua Magufuli. Hiyo imekaaje ndugu zangu wa CCM?
Sina uhakika kama hiki kitu nakiona peke yangu au kuna wengine wameona. Chadema haikushinda, na CCM vile vile haikushinda. Aliyeshinda ni Magufuli na watanzania wanyonge na wale ambao hawakupenda madili. Haijalishi kama walimpa kura au la. Kukosoana kuko na ni jinsi ya kurekebishana au wakati mwingine kutoa steam. Inawezekana kuna maamuzi anafanya pasipokuwa na data kamili na mengine anayafanya pasipo Sisi kubwa na data kamili. Mwisho wa siku lazima afanye executive decision.

Kama mmegundua maneno 'changamoto', 'mchakato' na mengine ya design hiyo hayasikiki kwa sana. HAPA KAZI TU.
 
Siasa za nchi hii zimekaa kinafiki na kipashukuna....wanasiasa wa taifa hawana tofauti na machangudoa wa maslahi yao ,sio wa kuaminika kwa kauli zao au hata kwa matendo ya....wako tayari kusema lolote hata kutetea lololte lililopo kwenye maslahi yao...
 
Mnataka kurudisha zama za Chama kushika Hatamu ambapo wakubwa wakisema watu wengine wote mnatakiwa mfunge vinywa vyenu. Kila siku Hapa JF lazima muanzishe thread dhidi ya Lowassa, lakini mtu akiuliza swali tu kuhusu Magufuli inakuwa Nongwa. Lowassa siyo Kiongozi wa serikali iliyoko Madarakani, lakini Magufuli ni Rais wa nchi. Kumzungumzia Magufuli kwa sasa ni muhimu zaidi kuliko Lowassa, na sisi kama raia tuna haki hiyo.

Bomoa bomoa ya kikandamizaji imefanyika Dar Mbunge wa Kinondoni kaenda Mahakamani, mnahoji kwa nini anapingana na serikali. Mnataka kutujengea picha kwamba serikali inajua kila kitu na iko sahihi wakati wote. Sisi ndiyo wenye serikali bila ya kujali kama tulimchagua Magufuli au la.

Wale mnaodhani kwamba ambao hawakumuunga mkono Magufuli hawana haki ya kumkosoa, jiulizeni hao ambao hawakumchagua huwa hawatozwi kodi? Kama wanatozwa kodi mnawaondowaje kwenye haki ya kuwakosoa wale wanaokusanya kodi toka kwao. Kama vipi Kodi isikusanywe toka kwa wapinzani. Kama wewe ni UKAWA basi usilipe kodi kwa kuwa hukumchagua Magufuli. Hiyo imekaaje ndugu zangu wa CCM?

Pamoja na gharama semina elekezi inahitajika. Inaonekana hawa wabunge wapya na madiwani hawajui roles na responsibilities zxao. Meya anapanga vityuo vya daladala?!?!?!?!? Jesus Christ Semina elekezi iwepo ili watu wajui majukumu na mipaka yao.
 
Mkuu tukienda hoja kwa hoja utakimbia ....list of shame iliandaliwa na nani? Hivi unajua kwanini yalitajwa majina yale tu? Naomba ujibu bila ujanja ujanja wa vihoja vyepesi vya siku hizi wanavyofanya propagandist wa CDM humu ...
Kwanza naona umetanguliza kuweka jiwe barabarani, mtazamo wa mtu ndiyo huweza kuifanya hoja ya Mwenzie kihoja, ni wale walio pembeni ndiyo wanaweza kutoa tathimini sahihi hata kama wana upande. "List of shame" lilisomwa na Slaa, lakini lazima nikiri kwamba mimi binafsi sijui nani hasa alikaa akaandika yale majina. Kuhusu kwa nini majina yale tu yalitajwa, kikawaida huwezi kuandika kila kitu unapotaka kuwasilisha jambo, ila najua kwenye uwasilishaji wa mada ni lazima kuwe na lengo Mahsusi, na kwa muktadha huo lengo mahsusi la pale Mwembe yanga lilikuwa kutaja majina ambayo kwa watanzania ingeonekana inawezekana kwa watu kuwa na uhuru wa kusema wanaloliamini.

Hata hivyo ule unaoitwa "ufisadi" wa Lowassa unaoshadadiwa sana na CCM hivi sasa, hautokani na "LIst of Shame' bali unatokana na sakata la Ritchmond!
 
Pamoja na gharama semina elekezi inahitajika. Inaonekana hawa wabunge wapya na madiwani hawajui roles na responsibilities zxao. Meya anapanga vityuo vya daladala?!?!?!?!? Jesus Christ Semina elekezi iwepo ili watu wajui majukumu na mipaka yao.
Tunaposema anapanga siyo yeye anakaa na kuandika vituo viwe wapi bali kwa kumwelekeza Mkurugenzi wa Manispaa. Semina elekezi inahitajiwa hapa JF pia.
 
Lowassa hawezekanani CCM wanalijua hilo Na Magu anajua, ndio maana kutwa kucha hawaachi kumsakama, kumuuua tu wameshashindwa, CCM haifai hata kidogo ni km ukoma
 
Badala ya kufahamu adui wao kwenye mafanikio ya kisiasa ni fisadi Lowassa ambaye amekinunua chama, kwa sasa wanaanza kungeulia kulia hapa Jamiiforums.
Kama unaweza kuniorodheshea majina ya wabunge wa CCM 20 ambao walishinda kura za maoni ndani ya chama chao bila ya kutumia rushwa, ulaghai, na uharamia, ndiyo nitaaamini kweli nyie ni wasafi wa kuweza kuiita CHADEMA ni chama cha Mafisadi.
 
Back
Top Bottom