Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 877
- 1,472
CCM kwasasa hamna rasilimali watu wa kutosha(quality and quantity wise) wakutegemeka na kutumainiwa na Taifa.
Mnaonekana kama mnalimudu taifa lakini ukweli ni kwamba uwezo huo kwa sasa hamna ni vile tu mmeshika mpini na wengine wameshika kwenye makali... na ukata huu wa watu makini(competence) unawapa urahisi wapinzani, wanaharakati na mabeberu kutikisa na kuangusha taifa kirahisi kabisa...
Nguvu iliyotumika October 29 isingetumika kama kungekuwa na watu wenye maamuzi sahihi... Pengine watu hao sahihi walikuwepo ila walipuuzwa.(((Wachungaji wanachungwa na mifugo))).
Wameshatugawa je tunajua mpango wao unaofuata ni kutufanyaje? Sasa hali kama hii inaghalimu ustawi na maendeleo ya Taifa.
Serikali mnatumia nguvu kubwa sana, kupita kiasi (zote soft na hard power) kujisahihisha(kufichwa) incompetence yenu inayojidhihirisha na kuripuka katika jamii... Mbinu nyingine zinatumika katika miktadha isioyostahili; katika dini,majanga na misiba, aibu na fedheha naona Mimi...
Hii ni moja ya dalili na inahitaji tiba ili tatizo litokome, lisije kuleta madhara makubwa zaidi siku za usoni.
Naam...! Kama tunavyozoea kusema sayansi na technologia inakua kwa kasi sana basi hivyo hivyo nyakati au dunia inakua kwa kasi sana...
Matokeo yake Jamii inaimarika(improves) katika nyanja zote kuanzia mtu mmoja mmoja hadi Jamii nzima(kielimu(upeo/uelewa/ufahamu wa Mambo...ujuzi wa mambo) hivyo uongozi unaweza ukajikuta upo nyuma ya muda una-lag behind sometimes baadhi ya wananchi wanakua mbele ya muda serikali ipo nyuma.
Sasa ushauri wangu kwa Nchi ili iwe imara;
1) Hakikisheni serikali yoyote itakayokuwa madalakani kupitia chama chao, inakua na watu makini (very very competent/ competent enough) ikiwezekana kuwazidi wananchi wote. CCM tafuteni watu makini ohoo! mnaligharimu taifa mjue?
Wenzenu upinzani wanawatu na mnalijua hilo ndio maana mnawakandamiza sasa hamuoni kama mnalikandamiza taifa, maana taifa makini linatakiwa kuongozwa na watu makini ili kuendana na kasi ya dunia... sasa kwa ustawi na maendeleo ya Taifa, Nchi inataka watu haswa yaani viongozi bora sio bora viongozi... Athari za kupeana nyadhifa kwa undugu urafiki ukanda na hali ya mtu, zinaanza kuonekana na kuzaa matunda ya sumu.
Sasa kwakua ninyi ndio mmeshika mpini ni mna-advantage ya kuwa madalakani zaidi na zaidi basi hamnabudi kuhuisha (update) chama la sivyo mridhiane na upinzani muwaachie kijiti.
Mfano mzuri ni soka... NBC PREMIER LEAGUE (SIMBA NA YANGA) kupitia usajili wao unaofanywa baada ya uongozi kukubaliana unaona kabisa hatma ya timu katika msimamo wa ligi kuna inayoimarika na kunawanaofarakana kadri siku zinavyokwenda... Bahati nzuri katika soka kuna free competition ndio maana ligi inakua.
2) Uongozi uwe huduma(service) kiongozi awe na fikra ya dhati ya kumtimikia mwananchi na taifa achaneni na tabia za kimungu mtu (ishi na watu vizuri uvae viatu).
3)Heshimuni watu/wananchi, sikiluzeni sauti zao zinataka nini kisha fanyieni kazi, kwa kiongozi mmoja mmoja yule unaemchukulia poa kule kijijini wanaonekama washamba, hawana matumaini, kumbuka kile ni kizazi huwezi jua huko baadae, dunia inamaajabu yake
Sasa uongozi wowote duniani unapaswa kuendana na kasi na matakwa ya nyakati husika, kushinda kufanya hivyo ni sawa na kwenda kinyume na kanuni za mfumo husika na kupelekea kuathiri system nzima.
Ni MTIZAMO TU.