12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,190
- 409
Wana JF,
Ukweli ni upi? Kifungo cha miezi 12 na zuio la shughuli zozote dhidi ya
1.LOWASSA.
.2.MEMBE.
3.WASIRA.
4.SUMAI
5.J.MAKAMBA
6.NGELEJA
Je! Ni kweli walengwa ni hao woote ama changa la macho tu kwa UMMA huku mlengwa hasa alikuwa ni Lowassa.
Mbona badala kufanikiwa kudhibiti uendeshwaji wa kampeni kwa makada hao sita matokeo yake walizidi kuongezeka wataka URAIS ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI?
Tumeshuhudia Makada wengine wakijitokeza tena wakitafuta uungwaji mkono na makundi mbali mbali akiwemo
1.Mh.WAZIRI MKUU -PINDA
2.NAIBU WAZIRI WA FEDHA -MWIGULU
3.WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII-L.NYALANDU.
Inatia aibu kumwona LOWASSA ndio mkiukaji pekee wa taratibu za chama.Mbaya zaidi WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA-MH.BENARD MEMBE anafanya atakavyo bila ya kukemewa na NAPE kwa niaba ya Sekretarieti ya CCM.HUU NI UNAFIKI ULIOPINDUKIA.
Ajabu Mh.MEMBE anapambwa sio tu na NAPE hata Waandishi wa Habari wamepofushwa na nini!
Pia Matamshi ya Membe yanadhihirisha hajawahi kutangaza nia ya kuutaka URAIS,hio ni sahihi kabisa maana hata LOWASA hajatangaza.
Najiuliza ilikuwaje MEMBE akajumuishwa kwenye tuhuma za kujinadi kwa kutafuta uungwaji mkono na wengi ndani ya chama mpaka kupewa adhabu ya mwaka moja? Bila shaka yale ayatendayo LOWASA sirini na hadharani ili afanikiwe kupitishwe na CCM kuwa mgombea mpambanaji na UKAWA/UPINZANI Ndicho hicho hicho akitendacho MEMBE Hadharani ama sirini.
HAKUNA KUKATWA MTU HAPA,CCM ACHENI UNAFIKI DHIDI YA MH.LOWASSA WATENGENEZEENI WATAKA URAIS MAZINGIRA SAWA ILI TUSHUHUDIE NANI ATAIBUKA MSHINDI.
Lijueni hili unafiki ni mwiko japo ni lazima apatikane mshindi mmoja tu ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
Nawasilisha kwenu.