CCM mnalipeleka wapi Taifa? Mwaka na zaidi sasa hakuna ajira mpya kwa vijana

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Wakuu, hili suala la ajira mpya imekuwa kaa la moto. Kila kukicha watawala wanapeana vyeo vya kisiasa huku ajira za wataalam katika kada mbalimbali zikiwa zimepigwa stop na mkulu wa nji. Swali la msingi hapa ni Je, pesa ya budget ya ajira mpya katika mwaka wa fedha 2016/2017 zinapelekwa wapi endapo mwaka wa bajeti utakwisha pasipo Serikali Kutoa nafasi za ajira kwa vijana?
 
Onyesha nafasi wazi serikalini (ikama) ili tuone maeneo gani serikali inahitaji kuajiri kwakuwa lengo si kuhakikisha vijana wote wanaajiriwa but kuziba nafasi wazi.
Pia imiza vijana wajiajiri.. kwakuwa nimejiajiri na inawezekana.
Serikali ya USA ajira za serikali ni 6% ya wananchi wote hivyo ni UJIMA kudai serikali iajiri vijana wote
Serikali isiwe taasisi ya ku babysit wananchi wote, dawa bure, gawa chakula bure wakati wa njaa, mafuriko nyumba bure... vyote hivyo havifanyiki nchi nyingi zilizoendelea ikiwamo USA (Hospitali za bure chache na huduma mbovu VS mwenye insurance)
Tujifunze kuhepuka ujima...serikali ilee wananchi
 
Ndiyo umemaliza kujitetea hivyo. Mbona wewe umeajiriwa? Anyway, Eti unajifanya ujuhi maeneo au kada zinazohitaji nguvu kazi Serikali iajiri
 
huna hata watu wana support thread yako mbovu.. onesha mahitaji halisi sio kuandika hisia na uchochezi..
Anaboa mtu anayetaka serikali iimpe ajira ama iajiri watu.. kinda of bongolala
 
Kumbe wewe jiwe Eeeeeh?

Umejipendekeza mwenye
 
DC Hapi nae kama ana mihemko hivi!! Sijui muda utatuambia! Kafungia Corner Bar sababu wameshindwa kuwatoa wale machangu doa pale nje! Sasa mtu mwenye bar ana nguvu gani hata kisheria kuwafukuza wale wadada?? Wale wadada wamesimama barabarani....nje ya bar yake!! Naona kama wangemuita na kuongea nae kwa kirefu zaidi kuona jinsi watavyosaidiana kuwakimbiza pale!! Sasa kumfungia kwa kosa la jumla si haki naamini ana mikopo bank itabidi awahi mahakamani kama Manispaa itamlipia deni lake sawa sawa ila wamemuonea!!! Kuna Bar ngapi zenye mifano hai kama hiyo??? Watafungia bar nyingi sana kwa style hiyo!! Naiona Villa Mwanza.....na zingine
 
Wakuu, hili suala la ajira mpya imekuwa kaa la moto. Kila kukicha watawala wanapeana vyeo vya kisiasa huku ajira za wataalam katika kada mbalimbali zikiwa zimepigwa stop na mkulu wa nji. Swali la msingi hapa ni Je, pesa ya budget ya ajira mpya katika mwaka wa fedha 2016/2017 zinapelekwa wapi endapo mwaka wa bajeti utakwisha pasipo Serikali Kutoa nafasi za ajira kwa vijana?
Pigana ufe kivyako, umeshasikia mwanasiasa anaongelea mambo ya ajira - Wewe eneo lako ni kutumika kuwachangia, kuandamana na kuwapigia kura wale vizuri na familia zao
 
Wakuu, hili suala la ajira mpya imekuwa kaa la moto. Kila kukicha watawala wanapeana vyeo vya kisiasa huku ajira za wataalam katika kada mbalimbali zikiwa zimepigwa stop na mkulu wa nji. Swali la msingi hapa ni Je, pesa ya budget ya ajira mpya katika mwaka wa fedha 2016/2017 zinapelekwa wapi endapo mwaka wa bajeti utakwisha pasipo Serikali Kutoa nafasi za ajira kwa vijana?
Zipo kwa wakurugenzi na idara za ulinzi na usalama tu
 
CCM kwa miaka 40 imeshindwa kuleta maisha bora kwa watanzania. Siasa za CCM zimekuwa kama ze komedi.
Ni wakati muafaka kwa wasomi Tanzania kukaa na kutafakari jinsi ya kupata chama kipya ambacho kichukue madaraka mwaka 2020. Ukawa/Chadema kwa kukosa mwelekeo hakifai kupewa madaraka.
 
Wakuu, hili suala la ajira mpya imekuwa kaa la moto. Kila kukicha watawala wanapeana vyeo vya kisiasa huku ajira za wataalam katika kada mbalimbali zikiwa zimepigwa stop na mkulu wa nji. Swali la msingi hapa ni Je, pesa ya budget ya ajira mpya katika mwaka wa fedha 2016/2017 zinapelekwa wapi endapo mwaka wa bajeti utakwisha pasipo Serikali Kutoa nafasi za ajira kwa vijana?

Wewe kwa kushinda hapa JF na posts zako huoni kama ni ajira?
 
Back
Top Bottom