yaani wametumia kigezo gani cha kugawa majimbo mapya? Je hao wabunge waliopo wamefanyakazi kwa ufanisi,?mbona wengi tumeshuhudia wkilala na kusinzia tu bungeni? Wengine ni huendekeza porojo tu namipasho? Hii tume inagawa majimbo kwa msingi upi? Badala ya kuongeza visima,barabara za lami. Serikali inaongeza nafasi za ulaji kwa wanasiasa. Je gharama hizo atalipa nani?
wewe kijana acha uhuni uliofunzwa na mkuu wako wa kaya.. Unakaa nyuma ili iweje.. Unajifichaa au??... Kaa mbele yangu upokee mirejesho vizuri... ...mbafff wee!!
siku zote za maisha yako wewe ndio mlipaji wa matumizi ya watawala
Ingekuwa ni uwezo wangu wote wangeenda guantanamo tena wawe wanakula mlo mmoja kwa saa 24í-½í¸ˆ
ni kweli mkuu. Wananchi ndo tunagharimia yote hayo. Kwa nini serikali isipiganie zaidi kuongeza huduma nzuri za kijamii kwa wananchi? Huenda hayo majimbo mapya wakaweka marafiki zao au jamaazao kugombea ili waendelea kutumbua kodi zetu masikini.nimeamini wanasiasa wengi ni maslai binafsi.
Mkuu kweli kabisa tena wafanyiwe na michezo michafu na mbwa shenzi kabisa hawa.
mwalla ukiona serikali imeshindwa hata kuhesabu watu wake (sensa) sababu ya rushwa basi ujue hakuna kitu huko.
Hata hao mil45 naona ni pungufu yawezekana tuko hata mil48,zile karatasi za sensa nyingine tulizikuta zinafungiwa maandazi mitaani kwa muda mfupi sana,nilijiuliza hivi recording ilikuwa kwa kasi ya kiasi gani?
Juzi mtendaji wa nec akaja na nyingine kwamba zile estimates walizofanya zimezidi mara zaidi ya nne,maana wameshavuka lengo na bado ambao hawajaandikishwa wako zaidi ya lengo,sasa najiuliza hivi sensa ilifanyika kweli au kiini macho cha kugaiana pesa?
Ya kuongeza majimbo ni wasiwasi wa kukosa majimbo mwaka huu..........
wewe hujui kitu.. Haya unayoona yanafanyika sasa sijui kuongeza majimbooo, kuleta bvr, kuchelewa hata kukumjua mapema mgombea wa ccm kama tulivyozoea hii ni dalili kuu ya kuelekea kuzimu hivyo tutasikia na kuona mengi ya ajabu mwaka huu ndg. Omba uzima tu ili ushuhudie kinachojiri ndani ya ccm na nchi kwa ujumla. Stay tune!!
Huwa sioni logic ya kuongeza wawakilishi kabisa. Yaani uwakilishi upimwe sawasawa na teacher-student ratio? Kwamba mwalimu mmoja akifundisha zaidi ya wanafunzi 45 ufanisi unapungua, na uwakilishi upo hivyo hivyo? Kwamba akiwakilisha zaidi ya watu laki mbili (mfano) ufanisi unashuka? Kuna data ku justify ishu hii? Siasa chafu zinaiua kabisa Tanzania na sisi tungali tunatazama!