Ccm mnaipa Chadema kiki bila kujua

Ccm mnaipa Chadema kiki bila kujua

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Chadema mlipoipotezea ifanye siasa zake ndio mliifanya watu waendelee na kazi zao hata umaarudfu ulianza kupungua ila hii kamata kamata mara mnawapiga ndio mnawarudisha rasmi kupata wafuasi na huruma ya wananchi, mnaipa umaarufu Chadema pasipo kujua
 
Yaan sisi Chadema ndio Kiki wenyewe,Kaeni makini kabisaaa
 
Back
Top Bottom