Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Nakubaliana nawe kwamba ameshindwa kufanya TIMING.....lakini nyuma ya pazia yapo mengi yanayoendelea. Hata ujasiri wa Kingunge kusema hadharani kwamba CC haijachagua tano bora bali imetoka/kulazimishwa na KITENGO ni muendelezo wa kumomonyoka.
Lowassa anaweza asitoke CCM, lakini watu wake wachace wanaweza kutoka. Ninaamini ana watu wanaomuamini sana, na wapo wanaompenda kwasababu ya fedha alizonazo (wanapata chenji kidogo).
Kumbuka pia kwamba hawezi kutoka bila mazungumzo na sehemu anayotaka kwenda....yeye hataki kuhama chama akawe mwanachama wa kawaida. Hii ni swala la kulifikiri sana.
Lakini si alikaribishwa na ACT imekuwaje hataki kwenda huko?Au ACT wamepigwa mkwala na chama kongwe?