CCM mmezidi kutapatapa

CCM mmezidi kutapatapa

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
2,659
Reaction score
1,430
Wasanii zaidi ya 50 Mnazunguka nao nchi nzima hakuna Impact.

Wazee wote waliostaafu mmewaleta kuwatesa majukwaani Huku wengine wakitutukana Malofa.

Watukanaji na wadhalilishaji wote mmeealeta majukwaani Hakuna impact.

Wapinzani Waroho Wa gawila wote wamelamba Hakuna Impact.

CCM Na Tafiti Tatanishi za washirika wapiga deal Hakuna Impact.

Kuandaa Wanachama waasi feki kuvuruga Mabadiriko Hakuna Impact.

Kutuzusha udini,Ukanda na Ukabila No Impact.

Kutoa Watu hofu na kuwaambia Mambo ya Libya, Rwanda na Rais Saddam Wa Quwait No Impact.

Kupiga Push up Pamoja na Kurukaruka majukwaani Watu wasema Mabadiriko yako palepale.

Kuiga slogan za UKAWA M4C, No Impact.

Kupiga campaign eti za Bajaji No Impact.

Kusomba Watu Kwenye Malori no Impact.

Nk..nk..nk..

Watanzania wanasema Ulipo Tupo, iwe Jua hama Mvua..Mabadiriko regardless of the consequences...

Nchi yangu ni Tanzania na Rais wangu ni Mh.mmvbbvvba
 
Kikwete mwenyewe amesusa kampeini za mgombea wake
 
Ndio maana waswahili tunasema Siku ya kufa nyani miti yote uteleza,yaani mbinu zote zinashindikana..CCM OUT
 
Ryaro wa Ryaro

Sema usikike! mmvbb ndo nini? Unachoogopa? Sema Edward Ngoyai Lowassaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wenu kila siku wanalilia tu kwenye tv. Nyie jipeni moyo
 
hata Elimu bure na kupunguza vifaa vya ujenzi sio sera ya ccm wameiba kutoka chadema, tunafurahi chadema wameongeza sera nyingine ya kupunguza kodi za wafanyakazi
 
Wananchi wanahudhuria mikutano ya CCM lakini kura hawataipa.
 
Umetumia utafiti gani kufikia hitimisho na kusema hakuna impact?

Hisia haziwezi kufanya ukweli kuwa uwongo au uwongo kuwa ukweli.

Nadhani unafurahisha roho yako kwa kutumia hisia.

Impact utaipata kwenye tafiti zinazotambulika kwenye majukwaa ya kitafiti au kwenye matokeo ya uchaguzi.
 
Waangalieni vizuri hao wanamusiki na hata baadhi ya makada wa ccm wanapohutubia kuna wakati wana sema mabadiliko halafu wanakonyeza.j makamba alizungusha akazungusha huku akikonyeza akasema mabadiliko.msiwe na wasiwasi hata ccm ambao tupo huku ni kwa sababu tu ya kusubiri kugawana fito.
 
Miti yote yameuzia wachina,, kiwanda cha karatasi kilo wapi, kiwanda cha viberiti kiko wapi, mashamba ya nguzo za tanesco yako wapi,

GAS pia kapewa MCHINA,MCHINA ni noma:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Back
Top Bottom