CCM Mmetegwa nanyi mkanasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mmetegwa nanyi mkanasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hassan J. Mosoka, May 7, 2011.

 1. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa muda mrefu wapinzani wame-establish kauli mbiu ya kupambana na ufisadi, pole pole ccm mkaitwa chama cha mafisadi. Badala ya kufanya uchunguzi kwa nini hilo limetokea mkakurupuka kuita watu wadini na mengine yasiyo na mashiko katika jamii fukara.
  Wapinzani wenu wakaenda mbali zaidi wakawataja majina mafisadi nanyi kama kawaida yenu mmedandia hoja barabarani na mmeibuka na hoja ya kuvuana magamba bila kujua kuwa hii itawagawa zaidi na kuwamaliza hata kabla ya 2015. Siamini kama ccm ikawafukuza watu wanadaiwa kuwa mafisadi itajenga heshima kwa umma ambao hata hivyo unaonekana kuwaamini hao watu rejea uchaguzi wa 2010. Ninaamini mara mtakapofikia hatua hiyo huo ndo utakuwa mwissho wa ccm katika utawala wa Bongo.
  Nawasilisha
   
 2. k

  kakini Senior Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :happy:
   
 4. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hali ni mbaya, maji ya shingo!
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hali ni mbaya maji ya shingo wametudanganyaaaa haoooooooooo wameinama wameinuka wameokota kidude cha mtu mzima kidudeeee
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Tatatizo ndani ccm nikubwa kuliko watu wanavyothani wawenga wanasema ukuu wako unaweza kuwa udhaifa wako.
   
 7. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  ...shiiiii ...kimya kimya mkuu... Ukipiga kelele watashtuka hawa!
   
 8. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe kwa sababu hata sasa tunachoona ni mapambano makali ya makundi hakuna mambo ya magamba hapo
   
Loading...