Wasipomshtaki huyu jamaa! CDM inawalakini
yaani nashndwa kuelewa,jamaa ni mlevi au bangi cjui ni chizi hata sielewi,ufafanuzi zaidi alikuwa ktk hali gan wkt anatoa hotuba hyo?
wewe kweli pumb-a. Kune ubonge gani katika hotuba ambayo hata mtoa hotuba mwenyewe kaomba radhi kwa ***** alioumwaga hadharani! Msifie mtu kwa sera zenye mantiki, sio kushobokaBooooonge la hotuba, cdm wakimwaga mboga ccm tunamwaga ugali.....jino kwa jino wakijamba tunaharisha!
Ni kweli alisema hivyo?Do huyo ndie aliepiga chini kwa mzee Malecela! Naomba niletewe na ya Lema nilinganishe au wenyewe hawana matechinician wa kutunza kumbukumbu?
Lusinde alihamia CCM toka CDM, na bado tunaendelea nae kumrekebisha maana maadili na hayo anayoyapractise kayatoa huko alipotoka.
Mkuu wana ccm wenye akili timamu hawawezi kusifia matusi ya Lusinde , kimsingi ukirejea kauli za wazee wetu Bujiku na Kitine hawa ndio wanaoua ccm taratibuLusinde alihamia CCM toka CDM, na bado tunaendelea nae kumrekebisha maana maadili na hayo anayoyapractise kayatoa huko alipotoka.