Ccm mmeona libya??

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
Upuuzi wenu mnaotuletea watanzania una mwisho wake
mwisho wa gaddafi ndio huo
nyie ccm nawaambieni tunawasagia meno kwa hasira
tunasubiri siku wakati na saa
tutawakamata mmoja mmoja kwa mfano wa gaddafi
 
Kiburi chao hakifikii cha gaddafi lakini walishatumbukizwa humohumo
 
Mimi nina list ya kuondoka nao,inalala kwenye mto kila siku ikisubiri siku ifike
 
i did said those words in public and they arrested me! Although i was harrassed but the message was clear and it is now revealed,whether they liked or not!!step ing over em is my feelin
 
Ina maana unataka kuifananisha ccm na Gadaf!. Nasikitika kuwa kuna watanzania wenye akili finyu wanatamani yaliyotokea Libya yatokee Tanzania.
 
Upuuzi wenu mnaotuletea watanzania una mwisho wake
mwisho wa gaddafi ndio huo
nyie ccm nawaambieni tunawasagia meno kwa hasira
tunasubiri siku wakati na saa
tutawakamata mmoja mmoja kwa mfano wa gaddafi
Mkuu director1, sikio la kufa halisikii dawa! hapo unampigia mbuzi gitaa, hawezi kucheza. ni kama unamuonyesha sinema kipofu.
 
Ina maana unataka kuifananisha ccm na Gadaf!. Nasikitika kuwa kuna watanzania wenye akili finyu wanatamani yaliyotokea Libya yatokee Tanzania.

tena nikiwa mimi wa kwanza..btr tupoteze wote,nchi ianze kujengwa upya.
 
Ina maana unataka kuifananisha ccm na Gadaf!. Nasikitika kuwa kuna watanzania wenye akili finyu wanatamani yaliyotokea Libya yatokee Tanzania.
Ila kweli huwezi kuifananisha ccm na gadaff kwa sababu gadaff alikuwa anawahudumia wananchi kwa kila kitu ispokuwa yeye wananchi wameshamchoka lakini ccm wameshindwa kuwahudumia wananchi hata kwa yale mahitaji ya msingi
 
Its nonsense to compare Libyan situation to ours bearing in mind on the difference in leadership patterns of the two countries. Gaddafi's despotism and domineering tendency prompted his subversion and was indeed too late to save anything when matters turned nasty against his way. On the contrary, Tanzania has for long perpetuated democracy and rule of law making it the fronliner when it comes to implementation of freedom of speech and transparency.
 
Upuuzi wenu mnaotuletea watanzania una mwisho wake
mwisho wa gaddafi ndio huo
nyie ccm nawaambieni tunawasagia meno kwa hasira
tunasubiri siku wakati na saa
tutawakamata mmoja mmoja kwa mfano wa gaddafi

Mimi naisubiri hiyo siku mbona nitamchoma Fisadi na kummbanika ili iwe fundisho kwa wengine
 
Mimi nina list ya kuondoka nao,inalala kwenye mto kila siku ikisubiri siku ifike

hurumia mbavu zangu mkuu ..mm nimeiweka nyuma ya mlango nikitoka nawasoma tu najua ipo siku jua na mwezi unao mulika Tz utasimama.
 
hurumia mbavu zangu mkuu ..mm nimeiweka nyuma ya mlango nikitoka nawasoma tu najua ipo siku jua na mwezi unao mulika Tz utasimama.

sasa mkuu utanifanya nisalale mbavu zangu!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…