Uloi nga mâché68;14203923 said:Jidanganyeni tu. Lakini msisingizie kuibiwa kura!
nitawashangaa sana ndugu zangu wanamtwara kama wataipigia kura ccm mwaka huu. maana wamedhalilishwa sana kisa kutetea gesi yao. wana mtwara twende na lowasaa na ukawa kiujumla.

Mnajitekenya alafu. Mnacheka wenyewe. Humu ndani sijawahi sikia kuna jimbo ccm ialibeba kila jimbo ukawa. Basi. Mi naona ni vyema mkayachukuwa yoteee. Maana habari zenu za kiunazi zaidi. Km. Gazeti la tanzania daima