CCM mbio za mwengi yatumia magari ya kusomba taka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM mbio za mwengi yatumia magari ya kusomba taka

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Dec 1, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Vijana hawa wa skauti wamelalamika kupewa gari ya kusomba takataka kuwachukua kwenda kwenye mbio za mwennge mjini Morogoro. Wanasema walao wangeliosha, vinginevyo wanajisikia kudhalilishwa na serikali ya CCM.
   
 2. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  kweli hii ni dharau kubwa sana
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Imeshafikia muda wa ccm hata kuitoa kwa [​IMG] kama ikibidi hivyo
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  skauti wakome kujipendekeza.
  Kwanza mi nilijua mbio za kikoloboi zimesha acha kufanyika, kumbe bado!!!!
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wamelazimishwa???
   
 6. driller

  driller JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  haya mambo wameyataka wenyewe wacha yawatokee puani kidogo na bado huo ni kama mwanzo tu..!!!
   
Loading...