Wanawashwa washwawana mapepo nini?
Itakuwa wanatolewa mapepo
Hisia inahesabika kwako ww kutumia lugha kali...za kuudhi na kashfa!!!!Huwezi kuzuia Hisia
Nimeandika maneno Ma3 hapo "Huwezi" "Kuzuia" "Hisia". Ila wewe umekuja na maneno 60 tena yenye Kinyesi na uharo wa bata kwani umeambiwa mimi ndiye nimeiweka CCM madarakani!Hisia inahesabika kwako ww kutumia lugha kali...za kuudhi na kashfa!!!!
Lkn kwa hao CCM walichotenda kwako ni ukichaa....upuuzi.... kukosa akili...na hivyo kwao siyo Hisia
HUKO NI KUDAI HATI MILIKI YA MAWAZO..MATENDO NA UHURU WA MTU KUAMUA CHA KUFANYA!!!!!
Shame on you
Mtu kumuita mwenzake Pumbavu wakati huo hajui kesho ataamka ama la ni kiwango kilekile alichoambiwa tajiri na Bwana Yesu baada ya majivuno na kiburi kuwa" hujui kesho utakufa"????Nimeandika maneno Ma3 hapo "Huwezi" "Kuzuia" "Hisia". Ila wewe umekuja na maneno 60 tena yenye Kinyesi na uharo wa bata kwani umeambiwa mimi ndiye nimeiweka CCM madarakani!
Pumbavu sana unanyoa kila siku vuzi la makalio kumbe bado una akili za Punda.
hahahahahaha zaidi ya wastaafuWanawashwa washwa
Wewe nae ni Panzi kuliko panzi za kawaida hiyo picha inaonesha wanawake wanacheza kucheza ni hisia kila mmoja anazo popote pale bila kujali eneo ulilopo unaweza kujikuta unacheza sasa wewe unakomaa na mambo ya mtu mmoja mimi nazungumzia hao wanawake wewe unawaza upuuzi wako.Mtu kumuita mwenzake Pumbavu wakati huo hajui kesho ataamka ama la ni kiwango kilekile alichoambiwa tajiri na Bwana Yesu baada ya majivuno na kiburi kuwa" hujui kesho utakufa"????
Maana yake ni kwamba Tengeneza sasa maana huijui kesho yako
Hoja ni kwamba kama wewe unataka kuonyesha hisia na uwe huru kuzionyesha.....
Vilevile na kwa kiwango kile kile cha uhuru Ruhusu mwingine naye kuonyesha hisia zake maana huna hati miliki ya hisia...
Pole sana mara nyingi ukweli unaumiza lkn utafanye ndugu yangu...Face the reality men
Ni kweli kama walivokuwa wapiga dekiHuwezi kuzuia Hisia