shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
kisha ukunje karatasi kwa nje kama alivyoelekeza MboweKwenye karatasi ya kupiga kura LOWASSA na mgombea mwenza wake DUNI HAJI wako namba 4. Piga kura yako ya vema hapo
safi sana!Hakikisha unakua na kalamu yako na pia hakutakua na neno lililoandikwa Ukawa ila ni vyama washirika, Chadema, Nld, Cuf na Nccr
Watasubiri sana na bado...nampenda Lowassa shabiki wa damu kamwe sitamwacha.
Msaga sumu ndio habari na ni king wa malofa na wapumbavu kitambo uku kwetu uswahili ni
Wakinamama lowassaaaa
Wakinababa. Lowasaaaa
Vijana lowasaaaa ehee lowasaa mwenye link ya wimbo huu pls auweke apa