CCM maliwatoni hapatoshi kisa LISSU

Hii nafasi ilikuwa inamfaa KANGI LUGOLA ambaye angekanusha kuwa Tanzania Hakuna Mbunge Anaeitwa Tundu Lissu wala hajawahi kutokea,angedai Mbunge Wa Singida Kwa Kumbumbu zake ni Mgana Msindai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…