View attachment 1023370
Are you Serious Dr. BUSHIRI?...dawa dhidi ya haki huna umekalia kuti kavu
Chama kikongwe kimebakia na Maneno ya kwenye Khanga na Pelepete.
Shetani original humjui ombaomba wewe! Yule amayeomba mpaka Kiwanja cha mpira Dodoma na kila ajaye kumsalimia anamuomba "niombee"!
.....Shetani original humjui ombaomba wewe! Yule amayeomba mpaka Kiwanja cha mpira Dodoma na kila ajaye kumsalimia anamuomba "niombee"!
Hivi ana dhambi gani mpaka kila anayekutana naye " niombee"
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakta Bashru mbina Unajishambulia?!!..hizo sifa ni za CCM
mpaka nimemuonea huruma
Dakta Bashru mbina Unajishambulia?!!..hizo sifa ni za CCM
Ccm wamemtoa akili kabisa kiasi kwamba hajui anazungumza niniView attachment 1023370
Are you Serious Dr. BUSHIRI?...dawa dhidi ya haki huna umekalia kuti kavu
Hata sura imeanza kufanana na Polepole utadhani wanakunywa uji wa zege kumbe roho zao tuu!Ccm wamemtoa akili kabisa kiasi kwamba hajui anazungumza nini
Albadiri?......
.....hii mambo TAYARI !!!
Bandugu kunakucha......
Inaweza kuwa AlbadiriHata sura imeanza kufanana na Polepole utadhani wanakunywa uji wa zege kumbe roho zao tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app