Juha ni ww ulie pishana na mama yako umri miaka 9 na usiejua kusoma unakurupa nani alie kuambia kama mm ninaulazima wa aesh kuwambunge soma post zangu usikurupuke ...mm sio mwanachama tu wa ccm mm ni mwanachama wa Tanu ...
Kumbe ni sahihi kwa chadema kushinda serikali za mitaa hapo swanga Kama ccm ina mbulula kama wewe na unajiita ni kada wa TANU,sasa mtu kama wewe utamshauri nini mmewo aisha kama wote iq zenu ni zakuchomea mahindi ni sahihi kushindwa uchaguzi.
Watu kama nyie ndiyo mmesababisha chadema ipendwe sumbawanga kwani mmewagawa wanachama wa ccm,mmejaa matusi tu hoja hamnazo,lakini yote kwa yote dawa yenu iko jikoni