CCM maji ya shingo Rukwa!

Hapa Niko Karema ziwa Tanganyika chadema wamechukua Viti vyote wakisaidiana na padri Kasomo
 
 
 
sumbawanga noma hata mbeya usiisahau hasa wilaya ya momba kyela na mbozi hata mbsla
 
 
Huweleweki hata ulicho andika..hii ndio hasara ya kwenda shule na Fagio,Dumu la maji, kuni na mirumba..
Ndo shule ulizopitia au ndo unasoma huko mkuu? Hongera endelea kufagia labda Mungu atakujalia maana umekuwa mgumu mno kuelewa mambo. Ni vema kujitambua ili tabia yako ibadilike.
 
Ndo shule ulizopitia au ndo unasoma huko mkuu? Hongera endelea kufagia labda Mungu atakujalia maana umekuwa mgumu mno kuelewa mambo. Ni vema kujitambua ili tabia yako ibadilike.

Siwezi kubadili tabia yangu nikawa kama hao wanao hubiri siasa ktk majukwaa ya dini mm nafahamu mipaka ya kila kitu na najua kila jambo lina sehemu yake na muda wake. Ni vyeme haya unayo niambia mm ukawaambia mapadri wako wakabadilika na kujua dini ina sehemu zake na siasa zina sehemu zake..vinginevyo watakuwa wanapanda mbegu mbovu kwa waumini wao na kwa watanzania kwa ujumla..
 
Bila shaka hao mapadri wameupata wito wako na kama wana akili nzuri ya rohoni wataifanyia kazi. barikiwa tu na upate heri 2015.
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…