CCM maji ya shingo Rukwa!

Kama chadema imeshinda ukweli huo haupingiki kamwe,na kama ccm imeshindwa vilevile ukweli huo haupingiki,Watu weusi hupenda uongo ndio maana hatupati maendeleo,ukuzungumzia Familia ya captain Nkoswe inakusaidia nn.Tatizo mtu akisha kuwa ccm na uwezo wa kufikiri unaisha sijui ni kwa nn?unaweza kuchukua kikombe ukamwambia mwana CCM hii ni bakuli au pipa akakubali,vihiyo,mambumbumbu,makanjanja wamejaa CCM.Kijana yeyote ambaye Yuko ccm ni sawa tu na mpumbavu anayekimbia shule asijue madhara yake.nawapongeza saaaaaaaaaaaaaana wana Rukwa,Rukwa lzm iruke juu Aluta continue octoba 2015.Ukomboz ni LAZIMA tumeteseka kiasi cha kutosha.CCM ndembendembe mlalo wa chali.
 
wao wananenepa sisi tunakonda pesa zetu waziita visenti
 
Peas zenu na nani wakati ni jasho lake, tafuta zako acha wivu wa kike
 
Jamaa yako kapigwa chini au? Maana unatoka povu mkuu, sipati picha ubunge ukija mtu atajipima kamba ya shingo kwenye mti, dah!
 
Jamaa yako kapigwa chini au? Maana unatoka povu mkuu, sipati picha ubunge ukija mtu atajipima kamba ya shingo kwenye mti, dah!

Huweleweki hata ulicho andika..hii ndio hasara ya kwenda shule na Fagio,Dumu la maji, kuni na mirumba..
 
 
Rukwa mbion kusambaratika sbbu ya udini unaoenezwa na cdm, ni HATARI!!!
 

Kama hakubariki ameshindaje mitaa mingi kuliko ccm
 
Kama hakubariki ameshindaje mitaa mingi kuliko ccm

Huna takwimu ww tafuta takwimu ndio ujonasibu mbele za watu...ameshinda mitaa mingapi ktk mitaa mingapi nipe takwimu jimbo la sumbawanga ccm amepata mitaa mingapi na cdm mingapi..usijidanganye na kudanganya watu..
 
Acha kudanganya wewe

Hadanganyi huo ndio uhalisia kanisa limejipambanua kupitia mapadri wake kupiga vita ccm na kuisaidia chadema..hili wala halifanywi kwa kificho hata chizi analijua mapadri wanatumia nafasi zao kwa kondoo wa bw kuwaamrisha waikatae ccm kwa kila hali..
Ninacho sikitika ni kwa nini vyonbo vya usalama wanaliachia jambo hili baya kuzidi kutendeka ktk chaguzi.
 

Mkanisa yepi familia takatifu, kristu mfalme, malangali, katandala, cathedral au wapi?
Na ni mapadri gani wataje majina
 
Kama hakubariki ameshindaje mitaa mingi kuliko ccm

Hakubaliki hata kidog wala huwezi kumsifia nkoswe kwa hivyo viti walivyo pata cdm ukaacha kuwasifia mapadri walio hangaika na kufanya kampeini chafu makanisani na ktk mikusanyiko ya kidini na kuwataka waumuni nao waikatae ccm na kuichagua cdm..sifa zote na asante ziwaendee mapadri wa sumbawanga kwa viti walivyo shinda cdm..ccm wana vuna walicho panda..siamini nikwanini serikali ya ccm inawafumbia macho mapadri wanao tumia majukwaa ya dini kwa kuhubiri siasa chafu?
 

Mkuu tuambie mapadri wamefanikisha cdm kushonda viti vingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…