* Hongera Mzee Ngoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa
* Hongera Ikuwo - Mwanaharakati wa CHADEMA
Matunda ya mapambano yenu dhidi ya udhalimu wa CCM mkoa wa Rukwa tumeyaona!
Hongera wananchi wa Sumbawanga mjini kwa kuipiga chini CCM!
Pia pongezi za pekee ziwafikie wananchi wa Mwambao wa ziwa Tanganyika kwa kuifuta kabisa CCM!
Bye bye CCM!!!
dawa ya AISH HIRARY NA MALOCHA inachemka hawa jamaaa!!! bungeni wanasinzia tu!!kibaya zaidi wamewasaliti wananchi kwa kuikataa rasimu ya warioba!!!
tumshukuru Mungu kwa wema wake .
kufikia october watakuwa kama watu wa tundumatumshukuru Mungu kwa wema wake .
* Hongera Mzee Ngoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa
* Hongera Ikuwo - Mwanaharakati wa CHADEMA
Matunda ya mapambano yenu dhidi ya udhalimu wa CCM mkoa wa Rukwa tumeyaona!
Hongera wananchi wa Sumbawanga mjini kwa kuipiga chini CCM!
Pia pongezi za pekee ziwafikie wananchi wa Mwambao wa ziwa Tanganyika kwa kuifuta kabisa CCM!
Bye bye CCM!!!
Mungu yupi?
Ileje, umepagawa mpaka umeishia kupongeza tu badala ya kutueleza unawapongeza kwa mambo gani waliyofanya.Hebu tueleze ndugu yangu tujue yaliyotokea huko rukwa na mwambao wa ziwa tanganyika mpaka ccm wakatumbukia na maji kuwafika shingoni!* Hongera Mzee Ngoswe - Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa