CCM maji shingoni Igunga

Hivi kapteni Komba hajaja huko la lile lori lake na band yake ya kwaya na taarabu?
Enzi za wananchi kutoa kura kwa kuimbiwa nyimbo za kuvutia zimekwisha aje Komba au hata Shetani mwingine wana Igunga hawadanganyiki. Bye Bye CCM.

Nduka usikasirike plz,, mayb mods ameogopa avatar yako ilivyo ya ajabu

what is your source of information?

nyie TBC muelewe kua mnafanya kazi kwa kodi zetu ss watz tunaomba mripoti habari ya vyama vyote cyo mgeuze tbc ni mali ya ccm

pole magamba

Kama tunajifurahisha ni sawa ila kama ni ukweli CCM wamekuwa wakipata watu wengi sana. Juzi Mwigulu alikuwa Nkinga bila hata mgombea alikuwa na mkutano mkubwa mno kuliko alifanya Dr Slaa siku tatu zilizopita. Ulikuwa mkutano mkubwa mno mpaka nikashangaa wamefuata nini. Halafu huyo jamaa ana namna ya kuongea kwa namna mpaka watu wanaamini, anaharibu sana kama pale ali water down hotuba yote ya slaa yaani kama kuna mtu amebaki na yale ya slaa ni aliyemwelewa tu wengine walibadilika sana mpaka wengine waka diriki kusema Mwigulu agombee urais. Nimemsikiliza anawavutia kwa kutoa mifano kwa kisukukuma, kinyaturu, kinyiramba, kinyamwezi halafu watu wetu bwana wanamshangilia kweli. Pia kafanya mkutano mwingine mkubwa simbo, nanga na nyandekwa na amebadilisha watu kweli. Ana mvuto fulani wa maneno na staili ya kuhutubia watu hawachoki. Akizunguka kote jimbo litakuwa gumu kutabiri tofauti n mtoa thread alivyosema. Ngoja niwatafutie picha

Kaka heshima. Hapo kwenye red ndipo hasa "wataalam" wa fani mbalimbali - sayansi jamii, sayansi siasa, sosholojia, n.k. n.k. wanatakiwa kukuna vichwa kujiuliza huwa inakuwaje? Fikiria chama ambacho hakina resources zozote kubwa wala hakina dola na vyombo vyake wala, wala, wala, ... lakini kinapata sapoti ya ajabu hivyo! Huwa inakuwaje? Hebu tujifikirishe kidogo.

Tungeweza kuruka kama flamingo tungekuwa anga hizo kuhakikisha haki ya Mtanzania inasimama sawasawa na Uumbaji ukivyofanyika kwa Tanzania..
Waende wakubwa wooote wa mafisadi..sisi twaenda na Hoja..Rostam walimshutumu na akatoka na sasa wanamwomba awapigie kampeni..Na Rost.. akakubali tena kusimama kwenye jukwaa la waliomtema..huu ni uhuni...NAMKUMBUKA KINGUNGE

Kwa kweli ni muda wa kuwaacha wananchi kuchagua mtu na chama wakipendacho na si vinginevyo kama kweli tunataka Demokrasia ya kweli kwa waTz na maendeleo endelevu!
Wagombea acheni kununua uhuru wa wananchi kwa kuwahonga.

Chadema kwa mikakati ni balaa..ndiyo maana CCM wamepigwa na butwaa. Wenzako kama wamefanya mikutano 21 na wewe mmoja wa kuchakachua unategemea nini??. CDM ni mwisho wa matatizo...a very strategic party ever. Ikiwzekana msitumie helkopta
...Mkuu achana na Magamba wanaweza kuwafanyia mazingaombwe ukashangaa wanashinda mkabaki mnaulizana mbona walifanya mkutano mmoja tu wa kampeni....!!

propaganda zingine za kipuuzi! Unataka kuniambia watu 400 toka msh na arusha wamepelekwa igumga, kwa shida ipi cdm walionayo kihivyo? Uzush mwingne upime na mantiki yake cuz....

Ushindi wa uchaguzi haupo kwenye kuanzisha threads za kishabiki.

Pamoja na kuhutubia wanafunzi wa shule ya msingi bado mwaona mtashinda.

...USHINDI NA UKOMBOZI WA HILI TAIFA UNAANZIA IGUNGA...Na hao wanafunzi uliowaona ndo tunawaandaa wawe wazalendo wa nchi hii,na 2015 watakao kuwa wametimiza umri wa kupiga kura tunawasisitiza wasifanye kosa la kuchagua mafisadi(CCM) kwenye uchaguzi mkuu wa 2015...je una-hoja nyingine ya maana?...najua hauna kwahiyo tulien myolewe..."IGUNGA CHAGUA CHADEMA ONDOA MAFISADI"...

Mkuu usibweteke na ishara ya vidole viwili toka kwa hao machalii, mmejipanga vipi kulinda kura?

Kwa kweli ni muda wa kuwaacha wananchi kuchagua mtu na chama wakipendacho na si vinginevyo kama kweli tunataka Demokrasia ya kweli kwa waTz na maendeleo endelevu!

Wagombea acheni kununua uhuru wa wananchi kwa kuwahonga.
Nasikia eti Mweigulu Nchemba kafumaniwa anaharibu ndoa ya watu!

hiyo lazima ile kwao maana walishazoea wakijua wanaigunga ni wajinga kama wa miaka1980

Hkuna kulala MCHAKATO MAJIMBONI UMEANZA, Kitendo cha kumkataza NAPE, MZEE SITA, MWAKYEMBE, OLE SENSEKA, CHILIGATI kuganyaga IGUNGA ni mtaji mkubwa kwa CHADEMA. Vile vile ROSTUM inaipigia debe CHADEMA, kawni alishasema CCM inaendesha siasa uchwara. Doooooo JAMAAA wametapeliwa. Ville vile MKAPA ameingia IGUNGA kukabidhi rasmi jimbo hilo kwa CHADEMA. Hongera PEOPLES PAWaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…