Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Mkuu mbona tena unaleta mipasho kwenye siasa?chadema hakuna kulala mpaka kieleweke chapeni kazi wajinga wajinga muwapoteze..
Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao
nduka mbona unatumia maneno yenye hati miliki, MENDE linamilikiwa na gadafi
...MODS wanazi wa CDM wameifuta comment yangu, hivi ninyi hamnaga aibu, mnata kila mtu akae asifie tu CDM, acheni unazi wewe kama mod kazi yako ni ku moderate sio kutetea CDM au ndi mlivyoelekezwa na ma bosi wenu? Hivi unadhani hii komenti moja hapa inaweza kubadili matokeo Igunga? Hebu acheni bongo zenu zifanye kazi si kutumia yale sijui nini wanayaita DIDAS. Acha comments hata kama wewe haikufurahishi kama unajiona unaroho nyepesi na mapenzi na chama chako yamezidi si ingia tu kama member wa kawaida tupiganishe hoja na si huo uoga wenu. pengine ninyi ndio mnaokichafua chama cha CDM kuonekana kama watu wasio kuwa na uvumilivu kumbe ni mijitu michache tu, mbona hao wenye CDM tunakaa nao na kubishana, tunaita magwanda, magamba na kokrochi halafu tunaendelea kugengeana misuba? khaaa SHAME ON wewe mod uliye futa comment na kwa kuwa nilikuwa na ku monitor nitakufuata huko huko kukuonesha mimi ni nani EBOOOOOOO.
Mkuu kiukweli kabisa hizi ndio choko choko za uchochezi,Ndugu wana JF,
Ni usiku wa saa nne kwa hapa Tz ninapoandika ujumbe huu. Nimeongea na jamaa yangu ambaye ni askari polisi ambaye kwa sasa yupo Igunga. Tathmini aliyoitoa n kwamba CCM hali yao ni mbaya sana Igunga na hivyo kwa sasa wanajiandaa kwa hali na mali washirikiane na jeshi la polisi kuvuruga harakati za ukombozi wa pili wa watanzania na wananchi wa Igunga. Tayari kuna makamanda kama saba wa polisi ambao wamepelekwa huko akiwemo aliyerithi Mikoba ya Kamanda Tossi, huyo anaitwa Anacleth. Wengine ni akina Siro na Liberatus Baro. Wote hapa sasa wanashawishiwa na serikali iwatumia polisi kuhakikisha kuwa CCM inashinda kwa hila. Magari mengi ya maji ya kuwashwa yameshapelekwa huko kwa ajili ya kutoa tvitisho kwa wananchi. Wanaigunga wameamka mno safari hii. Jamaa yangu pia amethibitisha kuwa CCM inabeba watu kutoka vijiji ambavyo viko nje ya Igunga ili mradi ionekane tu kuwa inajaza watu kwenye mikutano.
Kwa wana Chadema mlio Igunga, kazeni buti na mikakati mathubuti iwekwe kulinda kura
<br />Kwa upumbavu huu unaofanywa na CCM, ni mwendawazimu tu anaweza kuwa SHABIKI wake!
Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya kuleta watu kwa malori.
Katika hali ya kukata tamaa, CCM sasa imekubaliana kutumia dola kama njia ya mwisho, kujipatia ushindi.. Kimsingi wananchi wengi Igunga wanataka mabadiliko, na wapo tayari kwa mabadiliko.
Leo Chadema tunafanya mkutano wa 21.. picha baadae