Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Ndugu asanteh sana,pipooooz! Kaza buti tutashinda ushindi huko wazi..Jimbo laini sana hili,na wanaIgunga wapo tayari kwa mabadiliko,kimsingi kwenye uchaguzi wa mwaka jana Chadema tulipata madiwani 2,wa kuchaguliwa na 1 wa viti maalum.Kila unayekutana nae anaonyesha ishara ya chadema hata watoto,ambayo ni ishara kuwa hata wazazi ndicho wafanyacho.,,ntaendelea kuwajuza
aliyekukata mshipa wa aibu ndiye kakuweza,wewe unaweza hata kumpikia maiti uji ukitegemea atapata nafuu.Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao
Kupambana na maharamia wanaopikwa SINGIDA!!Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao
Huwezi ukashindana na CCM wewe!! wao ndo wataamua nani awe Mbunge, hujui wanamiliki Tume ya Taifa ya uchaguzi. Kama unabisha fuatilia ujue uchaguzi wa October nani alishinda na tume ili play role gani. Mimi sishobokei shamla shamla nataka Katiba mpya ndo itakuwa dawa ya hawa weziKimbiza MAJANGILI hao wamezoea kukwapua.
<br /> <br / vipi CUF? Naskia wana igunga wanawapenda sn kuliko cdm, ni kweli?Jimbo laini sana hili,na wanaIgunga wapo tayari kwa mabadiliko,kimsingi kwenye uchaguzi wa mwaka jana Chadema tulipata madiwani 2,wa kuchaguliwa na 1 wa viti maalum.Kila unayekutana nae anaonyesha ishara ya chadema hata watoto,ambayo ni ishara kuwa hata wazazi ndicho wafanyacho.,,ntaendelea kuwajuza
Wanabandika picha za ufunguzi tunataka za mikutano mingine.
Ritz,bora ukae kimya,ficha upumbavu wako,hakuna fuso kutoka moshi wala Arusha,sio utamaduni wetu,mie nipo hapa Igunga na waulize magamba wenzako sio kukurupuka tu,Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao
Watoto wa shule hawakatazwi kupiga kura ili mradi wawe wametimiza miaka 18Mbona watoto wa shule ndio wengi au huko wanaruhusiwa kupiga kura.