Kwenye boxing kila pigo linamdhoofisha aduiCCM wanajua kutuchezea akili kama haukupasuka katika wakati ule 2012-15 haiwezi, Nachokiona wananchi ndo wanaodanganywa, CCM ni wamoja mtaona mwaka 2020 kwenye mikutano ya kupitisha wagombea wa Urais
Mimi sijawahi kuwaamini hawa watuInategemea ni kundi gani linaibuka na ushawishi mkubwa
Kwenye boxing kila pigo linamdhoofisha adui
Jr
Bado sana kwa Tanzania kuwa na think tankers wanaoweza kupanga michezo ya kisiasa kwasasa... Hiyo michezo walicheza Mkapa Jk Lowassa na mtandao wao woteNahisi ni upepo tu wa kushape siasa, hawa jamaa sijawahi kuwaamini, wametufanya tuache kujadili ajenda za kitaifa tunawajadili wao, mwishowe chaguzi zitafika watapewa kura za huruma na wananchi. Hafu kuanzia 2021 tutaendelea kuwalaumu tena.