1.kikwete kuomba polisi kudhibiti mikutani ya ccm(woga)
2.katibu wa bunge eti wabunge wanafanya fujo hivyo wanakiuka kanuni(upuuzi)
3.nape eti watanzania hawaoni bunge likirushwa,wanakuwa makazini(udhaifu)
Haya yote yanaonyesha jinsi chadema kinavyowazidi kete ccm message tu spika kabadilishiwa gari sasa wananchi wakiingia mitaani kweli ccm iko taabani r.i.p ccm