Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,498
- 1,297
So na humu Jf wamo hao walalamikaji?
Hivi huyu jamaa Mwita25 au atiwm25 lienda wapi? huyu jamaa alikata tamaa mapema sana!!! FF naye wapi?
So na humu Jf wamo hao walalamikaji?
Tupe na majina yao kama kweli unachosema kila ukweli..... udaku street
Ni kweli Mkuu Rejao umepotea hapa jukwaani kwa sababu ya masuala ya posho? Ebu njoo ubhaelezeeWengi wamepotea Kama Tume ya Katiba , Mafilili, Rejao, Ribosome na wengine wanabeep na kupotea siku hizi nasikia hata zile bundle za bure nape kawanyima
FF jamani sio kwamba kapotea ni kaolewa mitaa ya vingunguti kwa mnyamani na ustadhi wa madrasa kakatazwa na mmewe kwenda kushinda lumumba
Kwa hiyo wewe ndio wamekutuma.Tupe na majina yao kama kweli unachosema kila ukweli..... udaku street
Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu
Criiiii Criiii Criiii Criiii
Ritz:
Dah! Mheshimiwa anapiga simu. Naam Mkuu!
Nape:
Habari yako Comrade?
Ritz:
Salama tu Mheshimiwa
NAPE:
Kazi niliyowapa inaendaendaje?
Ritz:
Inaendelea vizuri tu Kamanda
NAPE:
Jana nilipita JF nikakakuta thread nyingi ni Pro-CDM
Ritz:
Ni kweli Kamanda. Tunaendelea kupambana si unajua mwanzo mgumu
NAPE:
Alafu hivi Malaria Sugu yupo? Sioni kabisa thread na coment zake siku hizi!
Ritz:
Afadhali umeuliza Mkuu. Usema kweli Rejao, Faiza Foxy na Malaria Sugu wananitegea sana. Na ndiyo maana thread za Pro-CDM zinaongezeka kwa sababu kazi inanizidi kimo
NAPE:
Waambie sitaki mchezo. Chama kinawalipa alafu kazi hawafanyi! Waambie ntawashtaki kwa Katibu Mkuu
Ritz:
Sawa Kamanda. Sasa Vipi kuhusu mishahara yetu ya mwezi uliopita na mwezi huu?
NAPE:
Wa mwezi uliopita mtalipwa mwezi huu ila wa mwezi huu msubiri kwanza. Si mnajua chama kina Crisis ya fedha. Ruzuku yenyewe si mnajua ni Shilingi 800 Million tu!
Ritz:
Sawa Kamanda. Kitu kingine Mkuu tufanyieni utaratibu mtununulie Laptop maana kazi ya kuingia kwenye Internet Café kufanya kazi ya Chama ni ngumu sana. Kwanza ni gharama na pia tunakuwa at risk kugundulika kwa Wananchi
NAPE:
Hilo ntalifanyia kazi. Kitu kingine?
Ritz:
Hamna Kamanda!
NAPE:
Sawa basi emu ingia sasa hivi JF Jukwaa la Siasa naona kuna thread inamuhusu Hamad Rashid, Regia Mtema na Godbless Lema. Emu kazicrash crash!
Ritz:
Sawa Mkuu!
NAPE:
Haya kazi njema Mpiganaji!
Kweli CCM inawatesa sana PRO-CDM kila siku mnazua mambo yasiyo na mashiko , ila bado wananchi hawawasikilizi, mkajifanya na JF ni yenu ila bado mkashindwa, mkanunua na kuanzisha magazeti km Tanzania Daima napo mkashindwa, mmefanya maandamano kila sehemu mkashindwa na hela zikawaishia mmeamua sasa kutulia, sasa msaidiwaje watu km nyie ????
Wengi wamepotea Kama Tume ya Katiba , Mafilili, Rejao, Ribosome na wengine wanabeep na kupotea siku hizi nasikia hata zile bundle za bure nape kawanyima
Hapa Jf wapo wa Chadema na CCM utawaona tu kwenye mijadala inayoendelea..... kila chama kimewalipa na kuwatuma wa kwake kama ni kweli wapo.
Hata hivyo tusiwachanganye wafuasi/mashabiki na waliotumwa.
Hapa Jf wapo wa Chadema na CCM utawaona tu kwenye mijadala inayoendelea..... kila chama kimewalipa na kuwatuma wa kwake kama ni kweli wapo.
Hata hivyo tusiwachanganye wafuasi/mashabiki na waliotumwa.
walikwenda kunywa chai ikulu...... Prof safari hasikiki chadema kulikoni??? Hata kesi zao mahakamani simuoni kama anashughulika wakati ni mwanasheria
kama kweli kundi hilo lipo hakuna anayetupa habari zake naona tu kila mtu anajifanya kulijua bila kueleza liko wapi na linaundwa na akina nani..... Ni ishara ya habari za kutunga.
Hivi huyu jamaa Mwita25 au atiwm25 lienda wapi? huyu jamaa alikata tamaa mapema sana!!! FF naye wapi?
Wanalalamika hawalipwi inavyostahili kulingana na kazi wanayo ifanya ambayo huwa wanafanya mpaka usiku wa manane
ikizingatiwa fungu limeongezeka katika bajeti mpya.