aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 190
Leo CCM watafanya mkutano wa hadhara Ngusero Sombetini ambapo viongozi wa wilaya na mkoa wataunguruma
hata maji ya kunywa hakuna?Msisahau kuwabeba watu kwa maroli. Ila mnanifurahisha pale mnapotoa one-way route (go only) kwa hao watu.
Leo ccm watafanya mkutano wa hadhara ngusero sombetini ambapo viongozi wa wilaya na mkoa wataunguruma
Leo ccm watafanya mkutano wa hadhara ngusero sombetini ambapo viongozi wa wilaya na mkoa wataunguruma
Umesema kuwa wana kikao cha harusi leo?
Tupe picha mkuu leo bavicha wakae
Leo CCM watafanya mkutano wa hadhara Ngusero Sombetini ambapo viongozi wa wilaya na mkoa wataunguruma
Ule mkutano wa Mwigulu jumapili iliyopita pale Mbauda, ulizidi kunipa imani kuwa CCM ni chama cha watanzania wote!
Ule mkutano wa Mwigulu jumapili iliyopita pale Mbauda, ulizidi kunipa imani kuwa CCM ni chama cha watanzania wote!
Semeni yote ila mwisho wa siku ccm baba lao
CCM huwa inawatukana kila mara watu wa Kaskazini na ilidiriki kusema kupitia UVCCM mkoa wa Pwani kwamba "kamwe Rais hatatoka kaskazini".Sasa inaenda arusha kufanya nini?Au Arusha sio Kaskazini?