kutwamara3 Senior Member Joined Jul 16, 2013 Posts 170 Reaction score 27 Aug 8, 2013 #21 Makubwa! wewe mkuu unauwezo wa kutabir hadi mwaka 20015,mbali sana aise nahis wewe ni mganga wakienyeji unaetumika kisiasa! Shame on you.
Makubwa! wewe mkuu unauwezo wa kutabir hadi mwaka 20015,mbali sana aise nahis wewe ni mganga wakienyeji unaetumika kisiasa! Shame on you.
Mtanzania1 JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 1,170 Reaction score 175 Aug 8, 2013 #22 Ntemi wa nassa said: 'kosa la kiuandishi' ccm haiwezi kuishi mpaka mdaa huo imeshakufa tunaizika lasimi 2015. Click to expand... Muda ndiyo utatuambia......kila la heri
Ntemi wa nassa said: 'kosa la kiuandishi' ccm haiwezi kuishi mpaka mdaa huo imeshakufa tunaizika lasimi 2015. Click to expand... Muda ndiyo utatuambia......kila la heri
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,095 Reaction score 285,799 Aug 8, 2013 #23 Sipati picha kumuona LOWASA AND CO Kuanza kufanya M4C ili kusaka wanachama wa kufufua ccm , sijui rangi ya nywele itakuwa bado nyeupe kweli ?
Sipati picha kumuona LOWASA AND CO Kuanza kufanya M4C ili kusaka wanachama wa kufufua ccm , sijui rangi ya nywele itakuwa bado nyeupe kweli ?