Ntemi wa Nassa
Member
- Aug 6, 2013
- 42
- 57
kuna kila dalili sasa ccm itakufa kifo kibaya sana 20015, MTU makimi hakika atakubaliana na Mimi kuwa chama hiki kizee kitagawanyika katika vipande vitatu, kuna kundi ambalo vijana wa lowasa kwa sasa wanahaha kulisuka lengo lao kuu ni kuwagawa wapinzani wao. mpango huo UK o mbioni kukamilika . mpango huo ndio utakichimbia kaburi ccm kwani utaacha makovu makubwa sana ambayo hayatatibika kamwe. kundi La mafisadi litazofika na wapambanaji wa mafisadi nao watakuwa hoi.
Acha mambo ya ajabu! CCM ibaki madarakani hadi 20015?
You cant be serious!
2015 tu CCM over!
Wananchi ndiyo waamuzi
"Nchi ngumu hii"
Hatutakuwa tena na majina kama SLAA, LIPUMBA, LOWASA na weingine kama hao20015, du ni noma??? kizazi cha ngapi hicho kitakuwa hapa duniani
Wananchi ndiyo waamuzi
"Nchi ngumu hii"
'kosa la kiuandishi' ccm haiwezi kuishi mpaka mdaa huo imeshakufa tunaizika lasimi 2015.Unamaananisha 20015 au 2015?? .......Maana nilidhani umekosea kwenye kichwa.......lakini naona hata kwenye andishi la ndani umerudia......japo umemtaja lowasa....