Wapinzani wanapouliza eti CCM wanasema wapinzani hawana hoja wana maana gani hivi ni kweli hoja za wapinzani ni zipi . hoja zao kubwa utasikia serkali haijafanya kitu toka Uhuru. Inashangaza hats wazee kama kingunge Suma. Lowa nk miaka ya 60 na Leo hakuna tofauti basis upinzani ni naamini ni upofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app