CCM kwenda CHADEMA

jamani tupige kura ushabiki hauwezi kumfanya ashinde na msishangilie tu hii kazi ya kuangusha hili dubwasha ccm ni ngumu mno na inahitaji ujasiri na umakini mkubwa

Hilo ndilo jambo la msingi tuhamasishane tumpigie kura Lowassa kura nyingi. Hawa ccm mzizi wao ni mrefu hivyo tuhamasishane
 
as long as you got that ability to convince them its ok,ccm we just do what we can to win hatutishwi na maneno kama hayo......

Ukawa tunatumia nguvu ya umma kushinda.
CCM ikichakachua matokeo, mafuriko ya nguvu ya umma yanaingia mtaani Kama zile picha za Senegal na guinea.
 
Mh Lowassa anastahili kuiongoza Tanzania kwa sasa maana anajua. WANAO NIUDHI KULIKO CHOCHOTE NI WANAOMTUKANA KWAMBA NI MGONJWA HAJIWEZI. HIVI WANAUJASILI GANI ENDAPO WATATAKIWA KUTHIBITISHA JUU YA HILO? LAKINI HATA KAMA NDIVYO WATU HAWA WANAFANYA UNYANYAPAA JAMBO AMBALO LINAPINGWA NA HAKI ZA BINADAMU
 


Hakika nakupongeza kwa moyo wa dhati kabisa. Karibu tuutimize mpango wa mungu.......naamini wako wengi nyuma yako umewaonyesha njia......karibu mkuu...."salute"
 
... watu wa Mkoa wa Mara siku zote ni stabbon & ma 'anti establishment'
 

BwanaX karibu saana..achana na hyo nyumbu chadema asilia anawajua Mbowe pekeake!! Mbowe ndo anajua alianza na nani na nini..Slaa ni mamluki na yy kaunguna na mafisadi wa ccm na kasahau kabisa alitoa ahad ya kumfunga magufuli akipata urais sshv yupo nyuma ya Magufuli kama koti nadhan kaahidiwa vittanda maalumu au uwaziri kivuli..AIBU YAKE!!karibu kwetu
 

BwanaX karibu saana..achana na hyo nyumbu chadema asilia anawajua Mbowe pekeake!! Mbowe ndo anajua alianza na nani na nini..Slaa ni mamluki na yy kaunguna na mafisadi wa ccm na kasahau kabisa alitoa ahad ya kumfunga magufuli akipata urais sshv yupo nyuma ya Magufuli kama koti nadhan kaahidiwa vittanda maalumu au uwaziri kivuli..AIBU YAKE!!karibu kwetu! Dr mihogo amerud kweny shamba lake
 
Nilikuwa mjinga kama wewe Siku za nyuma tena kipofu ila mungu aliyemleta lowassa ameniamsha...nita hakikisha wote walio usingizini kama wewe wana amka..


ahsante kaka yangu. kwa pamoja tutawaendelea kuwanyoosha hao. watanyooka tu hao kabla 0ktoba 25, 2015
 
Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?

ahaaaaaaa dogo yuko nondo leo nimefurahishwa na habari ya itv eti mji wa msoma wasimama kwa masaa kadhaa loh
 
kAKA HONGERA SANA ILA POLEKWA KUPOTEZA MUDA HUKO ULIKOKUWA.NA HICHO ULICHOKIONA MUSOMA NI KIONJO TU SUBIRI MWANZA NA MBEYA UTACHEKA UFE.
 

Ubarikiwe.
Viva ukawa viva.
 
Ccm tumeichoka tumeichoka tumeichoka tumeichokaaaaaaaaaa!!! eeiiiiiii.
 
Huo ndio ujana wa kileo.
Unaamua tu kubadilika huji ni kwanini unabadilika bali "umeona".
Chukua muda, tafakari ndio ufanye maamuzi.
 

Endelea kumdhihaki Dr. Slaa tu, itafika wakati utaelewa alichomaanisha....
Hajaungana na Magufuli bali anasema "kati ya wagombea 8, watatu anawajua hamu kiasi na Hao ndio wenye ushawishi na nafasi ya kushinda. Kati ya hao huyu wa ACT, Siwezi kumsema lakini Magufuli na Lowassa kila mmoja ana mapungufu yake ingawa Magufuli anayo nafuu zaidi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…