CCM kwenda CHADEMA

CCM kwenda CHADEMA

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.

Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
 
Karibu sana ukawa bwana x. Walete na familia, majirani na marafiki zako bila kuwasahau ndugu wa kijijini ili tumpeleke lowassa ikulu
 
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.

Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.

karbu sana!!
 
Hongera kwa kuokoka!
 
uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
 
Nakupongeza kwa uamuzi sahihi kabisa. Karibu kwenye mabadiliko kuelekea Tanzania iliyo njema, Tanzania ambayo mwananchi ataona fahari ya kujiita mtanzania. Karibu sana Bwana X.
 
Karibu mkuu. Angalau wewe dawa imekuingia na umepona. Karibu sana Ukawa, kisiwa cha mabadiliko ya kweli
 
Babu lai. kwa hali nilioishuudia hata mimi hapa Musoma ccm ijiandae kisaikolojia, na wote walio mtukana LOWASSA waanze kutengeneza na yeye kwa kumwomba Msamaa. maana Malofa na Wapumbavu, wameshaamua kumpeleka IKULU.
 
haki na wajibu wa kila raia katika nchi yoyote ya kidemokrasia kama tanzania kushabikia chama akipendacho kwa ridhaaa yake........
 
Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?
 
Back
Top Bottom