Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,748
- 50,170
- Thread starter
-
- #21
Hujui maana ya kusimamia.
Nimejikuta nacheka sana. Sasa hapo barabara ya vumbi na hakuna mtu anakatiza maana ni porini. Zebra crossing ya nini?
Waliopoteana ni wale wenye lundo la wabunge lakini bado hawatoshi kuisimamia Serikali mpaka Katibu wa chama chao anasumbua watu kwa kuwapigia Simu!!Lazima ufipa wapoteane maana hawana pa kupatia airtime
Atafukuzwa kazi.Hivi kwa mfano mtumishi wa umma atakayekataa kupokea Simu au kutekeleza
Maelekezo ya Polepole. Atafanywa nini??
Kwa sheria ipi ya Ajira???Atafukuzwa kazi.
Sheria haina umuhimu awamu hii.Kwa sheria ipi ya Ajira???
Acha kujiabisha mkuuPamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.
AIBU SANA!!
Ni mbunge wa channel Ten.Kwani huyo Polepole siyo mbunge wa taifa?
Kivipi??Acha kujiabisha mkuu
Angaliaga ulichoandikaKivipi??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sheria haina umuhimu awamu hii.
Kukataa kupokea Simu ya katibu mwenezi wa chama dola ni kujitafutia balaa, watumishi wote wa umma wanafahamu hilo.
Kina hitilafu gani!!??Angaliaga ulichoandika
Zipo faida nyingi we mnyalukolo...Sasa vurumai za kuwapata wabunge wote wale zilikuwa zina faida gani?
BAP umeiepa hoja yangu.Zipo faida nyingi we mnyalukolo...
1. Ruzuku....chama chenye wabunge wengi ruzuku nayo ni kubwa.
2. Kukubalika....kwenye Democratic election yoyote ile kila chama kinajitahidi Ku win majority kuonesha kukubalika kwako.
Upo hapo Mwalimu?
Yupo pale kama chama.....kumbuka chama kilichounda serikali ndo kina jukumu la kuisimamia serikali kwenye utendaji wake?BAP umeiepa hoja yangu.
Katibu mwenezi wa chama cha siasa kinachounda serikali ,ana mamlaka kwa watumishi wa Umma hadi awe anawapigia simu kuhoji utendaji kazi wao??
Hiyo imeandikwa kwenye Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano Tanzania??Yupo pale kama chama.....kumbuka chama kilichounda serikali ndo kina jukumu la kuisimamia serikali
Kwani na yeye si ni Mbunge?Waliopoteana ni wale wenye lundo la wabunge lakini bado hawatoshi kuisimamia Serikali mpaka Katibu wa chama chao anasumbua watu kwa kuwapigia Simu!!
Kwa ivo kwa kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mbunge anayo mamlaka ya kumpigia Simu IGP na kumuagiza afanye Jambo??Kwani na yeye si ni Mbunge?