CCM kwanini tunakuwa wanafiki kuwapokea wapinzani wanaohamia!

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
595
Reaction score
591
Habari wanajamvi, kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa uhai na kunifanya naendelee na majukumu ya kulijenga taifa .

Nataka niende direct to the point, kwanza nimeshangazwa na wimbi la wahuni wa kisiasa kuhamia ktk chama changu cha ccm, na hao wote wanahamia ccm wanaongea lugha moja ,tukianzia na Kafulila , huyu bwana mosi anasema anaunga mkono jitihadi za raisi kwa kukupambana na rushwa sawa

Ninapenda kumuliza swali , ni kweli mapambano hayo yamezaa matunda au yanalenga watu,?

Mfano wewe Kafulila issue iliyokutoa kisiasa zaidi ni escrow naomba wewe mwenyew binafsi tutajia hadi kufikia sasa ndani ya miaka miwili , watuhumia wangapi wamekamatwa wa escrow?

Jambo la pili katika fisadi kubwa ambazo zilitokea nchini kama richmond na meremeta hivi wa miliki wake hadi sasa wanafahamika?

Kafulila tuambie ukweli hivi kama leo ungepita ubunge kule kwenu kigoma kweli ungehama au siasa uchwara?

Kafulila pia unasema mambo ambayo nyinyi wapinzani mlikuwa mnaongelea muda mwingi ndo mambo yanayofanyika awamu hii ni kweli?

Kwanini unaongea bila kutoa ushahidi wa moja kwa moja badala yake unageneralize
Napenda nikuulize jambo moja tu hivi leo kama mtu amekuuliza serikali ya awamu ya tano inatekeleza mradi gani mkubwa huko kwenu kigoma kweli unaweza kujibu?

Hapa sitaki kuingia utawala bora ambao naona kuna matatizo mengi,

Sasa mimi kama mwana ccm sikubaliani na wahuni kutoka upinzani na kuja kuchukua vyeo huku ccm, kuanzia leo nahama ccm na niachana na siasa .

Nitaendelea kupingana na Kafulila, Mtulia na Katambi na ninasema hawa vimewakimbiza njaa na uroho wa madaraka.

Ndg mwenyekiti wa CCM taifa nakuomba hawa watu wasipewe cheo chochote kwenye serikali yetu tukufu
 
Tumieni hizo nguvu na propaganda kujenga Vyama vyenu vitoke ICU,

CCM ni Chama kubwa hata afufuke Nyerere Leo Hana uwezo wa kukitingisha!

Don't waste your time kupambana na Chama tawala Chama cha Mapinduzi Chama kikongwe zaid kuwa Madarakani kwa Miaka mingi Madarakani mfululizo Duniani na Ulimwenguni kote kwa Sasa!
 
Ndg wew unashinda mtandaoni sisi tupo field tupo na wananch
 
Umesema kweli tupu......

Wanachofanya CCM kwa sasa ni kuwawekea "economic sanctions" wapinzani makini wa CCM na wale wanaosurrender ndiyo wanaokwenda CCM
 
Umesema kweli tupu, wanachofanya CCM kwa sasa ni kuwawekea "economic sanctions" wapinzani makini wa CCM na wale wanaosurrender ndiyo wanaokwenda CCM

Mjumbe wa Kamati kuu Chadema na Mwnkt kanda ya Pwani Ndugu Fredrick Sumaye ndio aliasisi huo Mfumo akiwa CCM akiwataka Wafanyabiashara wakitaka kufanikiwa Biashara zao wawe CCM '
 
Siku hizi kwa Da'Mange ndio Field?
Fuatilia post zangu za nyuma, ukiachana na ccm ,sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Na siwezi kuwa mshabiki wa mwanasiasa

Thats why ktk tawala hii bado sijaona mipango endelevu zaidi ya vitisho kwa watumishi wa umma na kuchukua wanasiasa uchwara kama Kafulila na Katambi kuwapa vyeo
 
Mkuu si ushahama kwa nini wasipewe vyeo

Huyo KAFULIA sijuwi KAFULILA si nyinyi Maccm wenzake mlimpora ubunge wake?
Ccm aiibi kula nyinyi wapinzani mnatamaa ya kuuza kura , muulize Stella atakuambia jinsi alivyouza kura
 
Tumieni hizo nguvu na propaganda kujenga Vyama vyenu vitoke ICU,

CCM ni Chama kubwa hata afufuke Nyerere Leo Hana uwezo wa kukitingisha!

Don't waste your time kupambana na Chama tawala Chama cha Mapinduzi Chama kikongwe zaid kuwa Madarakani kwa Miaka mingi Madarakani mfululizo Duniani na Ulimwenguni kote kwa Sasa!
Bro rekebisha uandishi wako.
Tuendelee kutaniana sisi lkn kwa Nyerere usiende bro.
 
Tumieni hizo nguvu na propaganda kujenga Vyama vyenu vitoke ICU,

CCM ni Chama kubwa hata afufuke Nyerere Leo Hana uwezo wa kukitingisha!

Don't waste your time kupambana na Chama tawala Chama cha Mapinduzi Chama kikongwe zaid kuwa Madarakani kwa Miaka mingi Madarakani mfululizo Duniani na Ulimwenguni kote kwa Sasa!
Aisee.
 
Nakuona mara nyingi unapost mambo meengi kama vile hujui wana huna habari na uhuni unaofnywa na chama chako. Nchi zenye watu walioelimika hawafanyi upuuzi unaofanywa na viongozi na watendaji wa chama chako. Mfano mrahisi ni kusingizia upinzani kuwa ndio wanaokwamisha maendeleo angali hawasimamii chochote zaidi ya kufungua macho ya wenye uelewa kujua behind the curtain. Wizi, Ufisadi wa kutisha, kuuwa watu, ukandaizaji wa wasio na hatia, kubeba waze na mafisadi, uongo na uharibifu wa nchi, rasimali zake n raiya ni hawa CCM na bado kansa hii ndio inayoenelea ikienezwa na Mkiti. Ana kashfa nyingi na hapendi ziongelewe ndo maana watu wanakiwa silenced. Upinzani umefaya baya lipi zaidi ya kukosoa?? Na hao manawaona wanapukutika kwa nini muingie gharama kubwa kuwarubuni?? Kuwanunua.,, KUtumia olisi na mahakama kuwaknadamiza? Kuiba kura mapka kwenye chguzi ndgo?? mnawasingizia ila kitu mnachokifanya ila wanaendelea tu kuimrika?? Unafaha u fima michezo michfu mengi sana kw wapinzania na supporters wao ila Mungu ndiy nyefahamu.. Mtaishia kufnya figisu ila human being is dynamic,, Wasaliti hawakoseai ka ma ina Kafulila na wengine ila mtajajuta kama siku ya kiama.. Mtesa, kudhulumu na kufnya kila aina ya uchafu kwa wapinanzani mnajion mko salama ila Mugu atawaadhibu tu .. it.s a matter of time.. ua wakati utafika even Personally kujutia haya mnayoyafanya
What if kugekuwa a fair play?? Wanafanya mikutano.. Wanahoji bila kubambiiwa kesi.. Kupigwa.. Kutoiba kura..?? Sasa mmefika mbali mnateka mpaka waandishi wa habari, Laana itawatafuna na kila mipango yenu haitafanikiwa maana uhai wa mliowapoteza na wanaoteseka wanamliia aliye sirini.. Ukiwa na pumzi fanya yaliyomema maana hatuishi milelele.. Kiranja wa ufisadi kahamishia kila kitu kwake mpaka nafasi nyeti kwa chama na sirikai... ninyi maogopa kumwambia mnageukiwa wasio na hati.. ila time will tell.
 
Habari wanajamvi, kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa uhai na kunifanya naendelee na majukumu ya kulijenga taifa .

Nataka niende direct to the point, kwanza nimeshangazwa na wimbi la wahuni wa kisiasa kuhamia ktk chama changu cha ccm, na hao wote wanahamia ccm wanaongea lugha moja ,tukianzia na Kafulila , huyu bwana mosi anasema anaunga mkono jitihadi za raisi kwa kukupambana na rushwa sawa

Ninapenda kumuliza swali , ni kweli mapambano hayo yamezaa matunda au yanalenga watu,?

Mfano wewe Kafulila issue iliyokutoa kisiasa zaidi ni escrow naomba wewe mwenyew binafsi tutajia hadi kufikia sasa ndani ya miaka miwili , watuhumia wangapi wamekamatwa wa escrow?

Jambo la pili katika fisadi kubwa ambazo zilitokea nchini kama richmond na meremeta hivi wa miliki wake hadi sasa wanafahamika?

Kafulila tuambie ukweli hivi kama leo ungepita ubunge kule kwenu kigoma kweli ungehama au siasa uchwara?

Kafulila pia unasema mambo ambayo nyinyi wapinzani mlikuwa mnaongelea muda mwingi ndo mambo yanayofanyika awamu hii ni kweli?

Kwanini unaongea bila kutoa ushahidi wa moja kwa moja badala yake unageneralize
Napenda nikuulize jambo moja tu hivi leo kama mtu amekuuliza serikali ya awamu ya tano inatekeleza mradi gani mkubwa huko kwenu kigoma kweli unaweza kujibu?

Hapa sitaki kuingia utawala bora ambao naona kuna matatizo mengi,

Sasa mimi kama mwana ccm sikubaliani na wahuni kutoka upinzani na kuja kuchukua vyeo huku ccm, kuanzia leo nahama ccm na niachana na siasa .

Nitaendelea kupingana na Kafulila, Mtulia na Katambi na ninasema hawa vimewakimbiza njaa na uroho wa madaraka.

Ndg mwenyekiti wa CCM taifa nakuomba hawa watu wasipewe cheo chochote kwenye serikali yetu tukufu

Mkuu wewe ni CCM kwenye KOTI la juu lkn FLANA ya ndani ni MPINZANI
hata mwandiko wako tu ni wakipinzani!!!!
Pooooovuu jiiiiiiingi kisa kafulila,,mbona humtaji Nyalandu vp aende upinzani aache neema ccm???hao wakosa dira ndio wanakimbilia huko,wakishanyooka wanarejea mmoja baada ya mwingine,,
Haya mwingelee na Wema Sepetu sasa
We Povu Lako Kafalila tu,,
Acha chuki binafsi pambana na hali yako Mkuu
 
Back
Top Bottom