Ccm kwa nini kanda ya kusini mnashinda majimbo mengi zaidi?

Mssassou

JF-Expert Member
Jun 17, 2015
1,537
597
Kila uchaguzi mkuu unapofanyika CCM wanashinda majimbo mengi zaidi kuliko kanda zingine.Katika uchaguzi wa mwaka huu mmewagalagaza wapinzani wenu vibaya sana.Kwa nini CCM inapendwa sana nyanda za kusini ingawa tunajua maisha ya wakazi hao ni ya kimasikini sana ungilinganisha na sehemu zingine.Huduma za jamii ni shida kabisa lkn bado imani yenu iko CCM.Nini siri ya CCM kukubalika huko?
 
Hivi kusini unayo isema wewe nii hii ya Lindi na Mtwara ???mkoa wa Lindi cuf kachukua Kilwa kusini nakaskazini,liwale.mtwara cuf kachukua Mtwara mjini,tandahimba,newala vijijini,ndanda .hebu nipe tathimini yako ya mikoa ya kanda ya ziwa??
 
Back
Top Bottom