Habari wana jf, leo kwenye taarifa ya habari ITV saa 2 usku. katibu wa ccm taifa kinana ametangaza DODOMA kuwa wamekusanya maoni ya rasmu ya katiba mpya kutoka kwa wanachama million mbili na akaendelea kusema kwamba maon hayo hayajawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani. pindi anatangaza nilikuwa nimekaa na katibu kata wa ccm pia na yeye amekili kuwa hajawahi kuchangia maoni ya katiba mpya.SWALI NI KWAMBA Maoni hayo yalikusanywa lini? maeneo gani? na mikoa gani?. hii ni kwa sababu wengi wamekataa kuwa gawajawahikuchangia maoni ya rasmu ya katiba mpya. ndugu zangu tuspo kuwa care katiba itachakachuliwa na kupata katiba mbovu. sisi wote watanzania tunataka katiba ya watanzania wote na si kutoka kwa wachache. naomba kuwasilisha