CCM kwa hili wanachama wa CCM hamjawatendea HAKI.

CCM kwa hili wanachama wa CCM hamjawatendea HAKI.

Siku zote mnajitia CCM mnaringia mtaji wa Wanachama millioni 6. Saa mmepata maoni ya millioni 2 bado ongezeni Kidogo kupika data angalau mseme millioni 4 itakuwa mmefikia lengo la kudanganya umma. CCM punguzeni U-PINDA haaaa haaaa haaaaaaaaaaa
 
Mi shasema jamani hii katiba km co ya ccm basi ya chadema na sio ya wananch. Wananchi wapo wanachama WA vyama vya siasa, wengine hawaelewi na hawataki Ata kuckia vyama vya siasa, Ss ukisema chadema wamekusanya maoni ya wnachama wke na ccm vlvl na cuf c manayk wanataka ya wpenzi wao ndo yaingizwe na ya wpinzni wao yasiwemo, tutajuta waTz cku ikifika ya kujuta
 
habari wana jf, leo kwenye taarifa ya habari itv saa 2 usku. Katibu wa ccm taifa kinana ametangaza dodoma kuwa wamekusanya maoni ya rasmu ya katiba mpya kutoka kwa wanachama million mbili na akaendelea kusema kwamba maon hayo hayajawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani. Pindi anatangaza nilikuwa nimekaa na katibu kata wa ccm pia na yeye amekili kuwa hajawahi kuchangia maoni ya katiba mpya.swali ni kwamba maoni hayo yalikusanywa lini? Maeneo gani? Na mikoa gani?. Hii ni kwa sababu wengi wamekataa kuwa gawajawahikuchangia maoni ya rasmu ya katiba mpya. Ndugu zangu tuspo kuwa care katiba itachakachuliwa na kupata katiba mbovu. Sisi wote watanzania tunataka katiba ya watanzania wote na si kutoka kwa wachache. Naomba kuwasilisha
ccm wamepanick hawana jipy hawa wauza unga na nyara za sirikali. Sasa kama wamepatana maoni toka kwa ssiemu membazi .je 45m-2m= 43m ni sawa na maoni kutoka 5% ya watanzania. 95% ya watanzania bado hawajajua wanasemaje? Kwahiyo huo ni ubakaji tu wa mchakato wa rasmu ya katiba?
 
wale wajumbe wa mabaraza ya katiba ya kata CCM iliwatumia hao nchi nzima wakawapa semina na hela, pia wakawapa na rasimu ya ccm wakapigane mpaka katiba yao ikubaliwe .Hii ni katiba ya CCM sio ya watanzania ila yanamwishi na hawajatutendea haki kabisa sisi wananchi tuliokuwa tunataka mabadiliko na ambao hatuna chama
 
Back
Top Bottom