CCM Kwa hili kuweni makini na huu mpango wenu!

SIO SIRI KILA MTU ANAOGOPA KUFA, Lkn Dogo wa jana alikuwa ni machinga tu na kaonewa yule, 4ur information Chadema ela za kumwaga watazitoa wapi? iyo ni tabia yenu CCM MAFISADI, umeona jana watu wale NYOMI wamejilipia daladala na C kama CCM LZM MAFUSO PIA MABASI YAWEPO KANDO NA POSHO ZA KUWALIPA KWA KUUDHURIA MIKUTANO LZM WAPEWE,
Pesa mnayo sema dau lenu ni dogo na ndio sababu ya kuweza kukusanya machinga/jobless wasio hata wapiga kura . Ili mradi wajitokeze na kufanya vurugu.
 
CCM imechaguliwa na 70% ya watanzania. sasa hao 30% ndio watawatoa?

KAKA SOMA ALAMA ZA NYAKATI, UONI WANAOGOPA ATA KUINGIA KT CHAGUZ NDOGO? USIRELY KWA IYO 70% ILOCHAKACHULIWA NA USALAMA WA TAIFA, CCM YAKO INAOGOPA CHAGUZ WALOGWE WATIE TIMU A.TOWN AU IGUNGA AIBU KUBWA WATAIONa
 
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!
kwa kweli wewe ni kakakiazi
 
Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.

tafadhali ... watanzania siyo wajinga .... hii pumba uliyoandika semea nafsi yako na wajinga wengine
 
KAKA SOMA ALAMA ZA NYAKATI, UONI WANAOGOPA ATA KUINGIA KT CHAGUZ NDOGO? USIRELY KWA IYO 70% ILOCHAKACHULIWA NA USALAMA WA TAIFA, CCM YAKO INAOGOPA CHAGUZ WALOGWE WATIE TIMU A.TOWN AU IGUNGA AIBU KUBWA WATAIONa
Arusha na igunga ndio Tanzania nzima? Halafu mbona mkikosa wa kumlaumu mnarukia Usalama wa Taifa, kama mliibiwa kura mbona vingozi wenu walijikusanya Ikulu?
 
kwa kweli wewe ni kakakiazi

hii akili haina tofauti na ya braza ako nnape, akil ya kushikiwa magamba wakubwa nyie, ata kivuli cha m4c mnataka ktimua mbio, ebana kwa m4c hii nyeti za ccm tmezibana vilivyo na wanapumulia mashine
 
tafadhali ... watanzania siyo wajinga .... hii pumba uliyoandika semea nafsi yako na wajinga wengine
Nani yuko tayari kufa kwaajili ya CDM? Umesahau Mzee Slaa alivyo jificha nyuma ya spika? Na umesahau Mbowe kuruka ukuta?
 
Pesa mnayo sema dau lenu ni dogo na ndio sababu ya kuweza kukusanya machinga/jobless wasio hata wapiga kura . Ili mradi wajitokeze na kufanya vurugu.
There are two things that are infinite, the Universe and Human stupidity........i am not sure about the former.
 
arusha na igunga ndio tanzania nzima? Halafu mbona mkikosa wa kumlaumu mnarukia usalama wa taifa, kama mliibiwa kura mbona vingozi wenu walijikusanya ikulu?

hiz ni habari toka tiss penyewe, hawa ni kwa ajili ya usalama wa ccm na mafisad waka na c usalama wa taifa, hivi majebele mfano mdogo wiz wa twiga, madini, wiz bandalini n.k. Bado unaamin huu ni usalama wa taifa? Acha kujidharisisha mkuu nakuamini, huu ni usalama wa ccm, ndo asa hasira yetu dhidi ya hii serikali dhaifu ya wala rushwa
 
Tena kwa nguvu inayotumika kulinda udhalimu wao inaongeza idadi ya vijana wanaoichukia serikali na chama chake.
 
na kushanga wewe majebere uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana eti unasema "Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C". nani anaanzisha fujo kama sio hao polisi wa darasa la saba ambao wanatumiwa na magamba tunaanda case moja kwa moja kwa ocampo ndio utaona ujinga wanaofanya utawafikisha wapi.
kwani watu wakiachiwa kueleza kitu wanachokitaka kuna shida gani kwa nini hao polisi ccm hawendi kupambana na majambazi yenye silaha wanakuja kupambana na watu wanotembea kwa miguu au kwanini ccm wanapofanya mikutano yao au maandamano hakuna hata siku moja jeshi la polisi limeawazuia nyie siku zenu zinahesabika subirini tu na tunahasira sana na ujinga wenu ourtime will com when you guys will be wiping just wait three years is not so long

Nani yuko tayari kufa kwaajili ya CDM? Umesahau Mzee Slaa alivyo jificha nyuma ya spika? Na umesahau Mbowe kuruka ukuta?

C KWA AJILI YA CDM, APO NDO UNAFUKA NA KPOTOKa, WE R AFTER PHILOSOPHY YA M4C NA C DR SLAA WALA CDM, ATA ASIPOKUWEPO DR SLAA NA CDM MOVEMENT ITAENDELEA, TUMIENI TU RISASI VIZAZI VYETU VINAONA CCM WANAVYOUA WATU, OK CARRY ON
 
Chama hakihusiki na machafuko haya. Haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Tusiingize mambo ya siasa katika utendaji. kitu ambacho kesho tutajutia. Tusifanye ushabiki katika siasa, kwa faida ya utulivu tulionao.
 
na kushanga wewe majebere uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana eti unasema "Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C". nani anaanzisha fujo kama sio hao polisi wa darasa la saba ambao wanatumiwa na magamba tunaanda case moja kwa moja kwa ocampo ndio utaona ujinga wanaofanya utawafikisha wapi.
kwani watu wakiachiwa kueleza kitu wanachokitaka kuna shida gani kwa nini hao polisi ccm hawendi kupambana na majambazi yenye silaha wanakuja kupambana na watu wanotembea kwa miguu au kwanini ccm wanapofanya mikutano yao au maandamano hakuna hata siku moja jeshi la polisi limeawazuia nyie siku zenu zinahesabika subirini tu na tunahasira sana na ujinga wenu ourtime will com when you guys will be wiping just wait three years is not so long

MDAU NIMEPENDA SANA UR PRESENTATION, IZG ARGUMENTS ZITIWE MAGAZETINI WATANZANIA WENGI ZAID WASOME, MAANA SYSTEM INAWAFICHA MENGI. MUNGU IBARIKI TANZANIA, M4C MPAKA KIELEWEKe
 
Chama hakihusiki na machafuko haya. Haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Tusiingize mambo ya siasa katika utendaji. kitu ambacho kesho tutajutia. Tusifanye ushabiki katika siasa, kwa faida ya utulivu tulionao.

Thanks
 
CCM imechaguliwa na 70% ya watanzania. sasa hao 30% ndio watawatoa?

Ni kama 60% tu Mheshimiwa. Ambayo inashuka mwaka hadi mwaka. mfano mwaka 2005 tu ilikuwa 80.2%, HIZO 20% zimeenda wapi ? Nini kitazuia hizo 20% zisiongezeke na kufika 50%, 60% na hata 70%. Napita njia tu.
 
Back
Top Bottom