Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,380
- 139,288
Sarakasi zinaendelea.
Tume ya uchaguzi NEC imenukuliwa ikiwatupia mpira jeshi la polisi kuwa ndilo linalohusika kuhakikisha kampeni hazizidi saa 12.
Tume imeruka kimanga baada ya kupokea hoja kutoka kwa wadau kuwa juzi CCM wakati wakizindua kampeni Jangwani walizidisha mda zaidi ya nusa saa kinyume na taratibu