Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji
Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..
Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu zake mpaka papa la mapapa.. Woote katika umoja wao hakuna aliyeonesha hekima tafakuri wala heshima
Wallishindana kumshambulia kwa
Mipasho
Kejeli
Tuhuma
Matusi
Vitisho nknk
Wa juu kabisa walikaa kimya tuli, tukatajarajia kimya chao ni kimya cha tafakuri.. Lakini lahaula.... Walipofungua vinywa na misamiati mipya ikapatikana hapo.. Na hadhira ikaangua vicheko na kushangilia sana.. My beloved Tanganyika!๐๐ค๐ช
Nikajikuta nakumbuka waswaheli waliosema
Lila na fila havitangamani... Na ndege wafananao huruka pamoja
ukiona mwanao yuko vizuri kichwani jua kaiga kwa mama au kwa baba .. Na kinyume chakeView attachment 3351434
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji
Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..
Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu zake mpaka papa la mapapa.. Woote katika umoja wao hakuna aliyeonesha hekima tafakuri wala heshima
Wallishindana kumshambulia kwa
Mipasho
Kejeli
Tuhuma
Matusi
Vitisho nknk
Wa juu kabisa walikaa kimya tuli, tukatajarajia kimya chao ni kimya cha tafakuri.. Lakini lahaula.... Walipofungua vinywa na misamiati mipya ikapatikana hapo.. Na hadhira ikaangua vicheko na kushangilia sana.. My beloved Tanganyika!๐๐ค๐ช
Nikajikuta nakumbuka waswaheli waliosema
Lila na fila havitangamani... Na ndege wafananao huruka pamoja
ukiona mwanao yuko vizuri kichwani jua kaiga kwa mama au kwa baba .. Na kinyume chakeView attachment 3351434
๐๐๐ let me reserve my comment.. Kwakuwq waliomjibu si haba...wengine hawafai hata kuwataja.. BTW naona Kama umewasema kiaina..Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?
yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?๐
Ni mwendo wa michambo na mipasho wakiongozwa na mama yao mama wa mipasho asiye na busara na hekima ya Urais
Mkuu ushahidi upi unao utaka zaidi ya Dr. Kitine, dogo Sativa, Soka, mzee Kibao n.kYaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?
yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?๐
CCM ilichofanikiwa zaidi ni kuwekeza zaidi katika ujinga wa watanzania na asilimia kubwa ya watanzania ni wabinafsi wanajijali wao tu hawajali maisha ya watoto wao na wajukuu wao watakaokuja na kizazi chetu kitakachokuja tunaacha misingi gani ya kitaifa baada ya sisi kuwa tumeondoka Ili waikute Tanzania watakayofurahia kuishi kwa amani , kiuchumi ,kidemokrasia kijamii ,kiutawala bora, katiba inayoendana na nyakati tunazoishi n.k.
๐We jamaa huogopi !! Wasi wasi umetanda tusije fuatwa na sisi kuvunjiwa milango na kutoweshwa. Mmoja alisikika akisema KATIBA NI KULA NA KUSHIBA ๐๐No reform no election, Maza na gang lake ni empty pumpkin heads.
ok, mkuu unaweza kutuonesha upotoshaji wa gwajima?Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?
yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?[emoji205]
Hana cha kuonesha zaidi ya kueleza ujingaujinga na kujichekesha tu.ok, mkuu unaweza kutuonesha upotoshaji wa gwajima?