CCM Kumshauri JK akutane na Vyama vyote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kumshauri JK akutane na Vyama vyote!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyungu, Nov 23, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Nape Nauye na CCM yake wanasema wamemshauri JK akutane na vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni.... je watawaomba vyama hivyo waandike barua ya kuomba vyama hivyo vikutane na JK au watafanyaje? Je kama vyama hivyo havina cha kuongea nae? CCM bana....
   
 2. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona wanataka kuvilazimisha vyama? TLP na CUF hawana hoja tofauti hivyo wakutane na Rais ili wamwambie nini?
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  siasa mkuu!! mpaka utakapojua siasa ndio utakuwa umekuwa
   
Loading...