Naruida tena kusema, WANAMPINGA MWENYEKITI WAO MAGAMBA NA SIO RAIS, Haijalishi kama huyo MWENYEKIT NI RAIS PIA, Acha Ubweg.e
Kwani Rais Thabo Mbeki aliangushwa vipi? na Jacob Zuma? Zuma Aligombea uRais wa ANC katika uchaguzi 2009 na Rais Mbeki na Bwana Zuma akashinda hiyo ndo demokrasia ni haki ya kila mwanachama wa CCM kugombea kama anaona nia na uwezo anao tena ingekuwa demokrasia nzuri sana After all Kikwete Uenyekitin wa nini? wakati muda wake wa Urais unaisha 2015, ni wakati wa kurelease presure za uongozi na kuacha FIKRA MPYA ZA KUJENGA CHAMA NA TAIFA