msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,142
Wakuu naomba kuwasilisha. Hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa ndani ya chama Tawala, hususani katiba yao. Kimsingi sina haja ya kupinga haya mabadiliko, laa kujua lengo la haya mabadiliko. Ni kwa ajili ya kundi fulani la watu ndani ya chama au kwa mustakabali mzima wa Chama? Sijaelewa vizuri hili swala, manake kuna baadhi ya wajumbe tunaambiwa watang'olewa kwenye ujumbe wa NEC ya CCM kutokana na kua na kazi mbili za kudumu yaani ubunge na ujumbe wa NEC. Wakati huo huo wapo wengine watabaki wajumbe wa NEC na vile vile ni wabunge. Hapa hii imekaaje Wadau? Is this the beginning of the end? Kwa yeyote mwenye uelewa wa hili swala, tafadhali naomba tueleweshane.