Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Wanasheria hawawezi achia hela ya wazi hata kama wanajua kuwa huwezi kushinda. Let them appela. kwa mwenendo wa kesi, sidhani kama kweli watatoka. Advocates kuleni hele ye bure hiyo!
Habari nilizozipata muda si mrefu zinaeleza kuwa uongozi wa juu CCM umeamua kukata rufaa kesi ya uchaguzi Igunga.
Ni dhahiri hawana watu wa kusimama jukwaani kuomba kura ukiitishwa uchaguzi mpya. Watu wao wanaotegemewa ndio haohao walioharibu ushindi wa Kafumu. Wanachofanya ni kusogeza muda mbele kwani wanajua hata hiyo rufaa bado hawawezi kushinda.
Lakini tayari wamebomolewa sura yao vibaya sana, acha wajiliwaze
Ujinga mtupu!
Hii ni mbinu tu ya kuwachelewesha cdm kulichukua!
What is michuzi by the way?
View attachment 62601 Uchaguzi ukirudiwa naina tripu hii mtabaka kabisa
Na Kafumu mwenyewe jana alipoulizwa kama ana mpango wa kukata rufaa alisema hana mpango huo. Alisema anakusudia kwenda kwenye sekta yake ya madini. Nahisi kama ana mgodi au ubia kwenye mgodi fulani huko mkoani Singida.walimtelekeza kafumu wakati wa kesi..jana baada ya kushindwa wanagutuka na kusema ilikuwaje!!!na leo wanaamua kukata rufaa....
hoja zilizokubaliwa na mahakama zote zina nguvu sana....wanachokataa ni nini?