CCM: Kujivua gamba haitoshi we are on a life support! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Kujivua gamba haitoshi we are on a life support!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, May 28, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Ujumbe wangu kwa chama changu CCM:-

  - Kijivua gamba is supposed to a black and white thing, so lets do it now badala ya kusubiri siku 90, I mean what are waiting for? Ninasema hivi hawa mapacha watatu wafukuzwe chama now na vibaraka wao wote, tukianza na hawa hapa;-

  - Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,

  - Well, TAIFA KWANZA kama kweli CCM tunataka kujivua gamba then tuanze na hawa sasa hivi, ukItaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, just do it and now, kama CCM we are serious ni lazima tuanze na hawa, wafukuzwe chama, tuanze upya, hawa ndio wametuvalisha magamba hiki chama.

  Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hilo neno mwishoni!, iwe CC tu!  William Malecela @ NYC, USA.
   
 2. T

  T.K JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ha!ha!ha!ha!...William umemsahau "mzee" maana inasadikiwa naa yeye alipitiwa na mgao wa EPA, sasa sijui kama hilo lina ukweli.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mkuu unapoteza muda wako bure, kuendelea kuisupport ccm ni kujitafutia vidonda vya tumbo tu bure. ccm ina kansa haiwezi kupona kwa sasa ni lazima ife kwa maslahi ya Watanzania.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  ha ha ha haaaa William bana - sina mbavu. Sikiliza mkuu wangu hapo kwenye red.... hayo MADODOKI ni mazito, nakwambia mazito kuliko unavyodhani. In effec,t unachosema ni kwamba CCM ifutwe (deleted) then waanzishe chama kingine kipya! Kama ndivyo nakuunga mkumo as in we are both reading Abunuwasi right eh???
   
 5. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa tathmini gani uliyofanya ?
  mtu mwenyewe haupo dar es salaam kisha unajifanya upo mbele mbele ya kila kitu ndani ya ccm, kwa nini usirudi basi na sio kuishia kutoa kauli bila tathmini ?
  na hao watu wote uliowataja ni watu ambao walimtupa bahari malecela ili azame mwenyewe baada ya yeye kutaka kutoboa tundu kwenye boti.
  ana unazi wako, kwanza wewe ni nani hadi unataka kuiongelea ccm?
  kumbuka ccm ni zaidi ya mtu mmoja, sio lazime baba yako awepo ccm ili iweze kuongoza.
  umefubaa kimawazo kama jumanne malecela.

  na unachoandika saa nyingine huwa haki-make sense hata kidogo
   
 6. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbona MKWÈRÉ hayupo kwenye list?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Please wait.... atamtaja kwenye list inayofuata. Ama sivyo William?

  Jamiiforums hata sijui nilishije bila wewe look what William is saying? comical!
   
 8. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu tupe vigezo ulivyotumia kuwaita hao uliowataja kwa majina kuwa ni magamba na wanastahili kuondolewa kwenye chama chenu.Vipi baba yako Malecela yeye siyo gamba?Manake hujamtaja hapo kwenye list yako
   
 9. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  viongoxi
  dah! Kaka hongera kwanza kwa kuthubutu kuwataja hao wachache, Lakini kuwatoa hawa jamaa ni ndoto kaka CCM ilibugi katika uchaguzi wa viongozi wa CCM waliwaachia sana hawa jamaa wakajipanga kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa, karibia ktk kila wilaya wana watu wao so kuwatoa tu hivi ghafla maweza mkakiuwa chama kwa natural death ikiwa waliweza kujipanga kuanzia uongozi wa uv-ccm, UWT na Jumuiya ya wazazi kote kuanzia wilayani hadi taifa pia wana uwezo wa kukiua chama since CCM wote sio wasafi hebu msingeanza kurusha tu shutuma hebu wajiangalie upya na msiwafanyie hasira ka vile wao ndo kondoo wa kafara tukifata haki bin haki hamna atakayebaki woooote ni wachafu hebu give them a break
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280

  Huna point mkuu, umejaa porojo tu na ukibaraka, kuishi nje ya nchi haimaanishi huwezi kushiriki siasa za nchi yako, akili yako imedumaa sana, kumbuka Dalai Lama haishi Tibet lakini yeye ndio anaengoza mapambano ya Mabudha.
  Ok wewe uko Tanzania umewahi kuonesha mfano gani wa kuijenga nchi ukiwa hapa kuliko alivyofanya William @ New York? au nyinyi ndio mnaitwa Hater kazi yenu kuhate tu?
   
 11. M

  Madenge Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Sumu ikitolewa wananchi tutawaelewa..gamba tu bila kutoa sumu bado..
   
 12. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu bora na wewe umeliona hilo....maana CDM iliwaambia CCM maneno kama haya,lakini wakaitwa wanafiki na kuwa wanatumiwa na mapacha 3. Sasa bora wewe ccm mwenzao umeamua kuwapasulia live. Anyway tusubili reply yao tuone watachangia vipi topic hii ya moto.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nakushauri ua-attack hoja na si kumu-attach mtoa hoja hii haikubali hapa JF! jadili hoja nasi kujadili mtoa hoja, jaribu kuzuia hisia zako na chuki binafsi dhidi ya mtu.

  Ukiendelea kutoa lugha za kumshambulia mchangiaji mwenzio tutamuomba Mods wakutoe nje ya uwanja angalao kwa miezi ujifunze adabu
   
 14. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Ukimtaja M'kaya, usiache pia kumtaja mzee wako J.W.M, maana yale mabilioni aliyodhaminiwa na BOT alianzisha kiwanda cha kusindika nyama pale Sumbawanga huku mzee wako JWM akiwa na ubia katika kiwanda hicho!
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu punguza munkari! ccm kwa sasa iko mahututi bin taabani....mda si mrefu ccm itajifia na kutokomea kwenye sura ya dunia hii mfano wa KANU ya Kenya
   
 16. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu Bill hao tu wakiondolewa nahamia, sorry narudi CCM (Nilisahau enzi zile shule sekondari ilikuwa ni lazima uingie UVCCM) lol!!!!!!!!!!
   
 17. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Apa mpaka tushikiane bunduki! Vinginevyo akuna jipya.mafisadi warudishe every sent to HAZINA apo ndo tutaenda sawa.akuna kujivua gamba wala ngonzi
  Joka Nduli kama Iddi amini ata akijivua gamba,bado ni nyoka yuleyule.Ata bibilia inatukumbusha kuwa Samson alipo hota Nywele (magamba) tena alirudia 100%Nguvu zake.So tusidanganyike.Simba ni Simba tu ata akilowa
   
 18. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mimi wana-CCM mnaniacha hoi sana, yaani kila mtu anasema CCM iwafukuze Mafisadi! kuanzia M/kiti hadi mwanachama wa kawaida sasa sijui nina atafanya hiyo kazi maana kila mmoja wenu anasema anaimba huo wimbo huo huo; Wakati mnaimba huo wimba cha ajabu hao mnaowataja ndio viongozi wenu sasa sijui mnategemea viongozi wenu kujifukuza wao wenyewe! kamati ya Maadili ambayo ina mamlaka ya kumchukulia mtu hatua akienda kinyume inaongozwa na Chenge!

  Tuna subiri muda utaeleza mtakapofikia
   
 19. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - CCM ilianza kuvaa magamba ya ajabu kuanzia uchaguzi wa mwaka 2005, na hao niliowataja ndio hasa tumewasikia kwa nyakati mbali mbali wakishiriki kwenye kutoa maamuzi au kutoa kauli mbali mbali zisizo na tija kwa taifa wala chama, na matokeo yake yamekua kujivalisha magamba ambayo sasa yanatupa taabu sana, CCM hatuwezi kujivua magamba ambayo hatuwezi kutafaklari mbele ya wananchi jinsi tulivyoyavaa!

  - Sasa mwananchi you have a right ya kujadili hoja, au kunijadili mimi the messenger ambayo ni kawaida yetu wa-Tanzania, lakini bado ninansimamia hoja yangu ya msingi kwamba we have to sart somewhere na nimetoa changamoto ya where to start maana naona tunaogopana sana hili taifa, I am revolutionary sio kupiga maneno maneno bila vitendo, wananchi wamechoshwa na upuuuzi usioisha na viini macho huku wanauona ukweli, waliotupoteza sana CCM ni wale wote ambao wamekuwa wakiwapinga wapiganaji wetu ndani ya CCM, kwa sababu sasa hivi Chadema wanaimba wimbo ule ule hawa magamba waliokuwa wakiukataa kutoka kwa wapiganaji,

  - Sasa either we get rid of them all au tuendelee kudanganyana na wimbo wa mapachaa watatu, are we supposed to be blind? hivi hatukuwaona hawa wakijaribu kutumia kila njia kuizuia ripoti ya Mwakyembe? Hatukuwaona hawa wakitumia kila mbinu chafu kuwaondoa wabunge wenye nia njema na taifa letu? Hatukuwaona hawa wakitumia ma-billioni ya pesa kuwashindisha wagombea wao kwenye chaguzi ndogo za CCM? Hivi hatukuwaona hawa wakitumia mapesa yao kuwatumia wagombea wa upinzani kuwashinda wagombea wetu wa CCM? Sio hawa waliotaka kumfukuza Sitta bunge? Hatukuwaona hawa wakiiharibu UV-CCM kwa kulazimisha wagombea wao tu na sasa kuigeuza UV-CCM kuwa chama ndani ya chama? Remember mabillioni waliyoyatumia kwenye uchaguzi wa kina mama? hivi kwa nini wananchi wa taifa hili ni wepesi sana kusahau?

  - I mean what revolution are we talking about tunaposema Chama Cha Mapinduzi, Mapinduzi gani tunaongelea? Unataka kujifunza elimu ya Mapinduzi nenda Ghana, uliza what Rawlings had to do kufanya mapinduzi ya kweli na mpaka leo Ghana inaheshimika dunia nzima na kuongozeka kwa misingi ya sheria ambayo sisi hapa Tanzania inatushinda, tumekalia maneno maneno tu, Rawlings had to get rid of all his friends by the firing squad! Ebooo! ndio maana ya Mapinduzi eti!

  - Mapinduzi sio lelemama! Uliza China Mao aliua wananchi wangapi? Tizama sasa China!, wanaweza kuikopesha hata USA sasa! I mean either tufanye mapinduzi ya kweli au tuendelee kudanganyana!

  William @ NYC, USA.
   
 20. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha!

  ondoa majina ya waislamu kwanza kwenye iyo orodha.

  halafu na wewe uje huku bongo uongee hayo unayoongea 'watu' wakusikie.
   
Loading...