CCM kujitoa kwenye uchaguzi

CCM kujitoa kwenye uchaguzi

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Kuna habari muhimu nimeipata ikiwa bado mbichi kabisa,ni kuwa CCM huenda ikajitoa katika uchaguzi kwa sababu ambazo hazitokuwa na mashiko na hawatoshiriki.

Sababu ambayo mleta mbichi aliisema ni kuwa kila mipango wanayopanga inakuwa haina muelekeo wa kuwaletea ule ushindi wa goli la mkono ,kila mmoja anaogopa kuja kubebeshwa msalaba ikiwa kitanuka.

Na kuepuka aibu ya kushindwa ni bora wakatafuta sababu na kumuondoa mgombea wao katika ngazi ya uraisi na zaidi utolewe uamuzi wa kujitoa kwenye Uchaguzi mkuu.

Majadiliano ni makali sana kuna wanaotaka waendelee kichwakichwa liwalo na liwe na kama ni aibu wao itakuwa sio wa mwanzo kuna nchi kibao vyama tawala vimepoteza uongozi wa nchi na kuna wanaosema ila hilo tu,kushindwa itakuwa aibu ya kuzomewa mitaani na itazidi kuwadhoofisha ni bora lisitote wajiweke pembeni hata ikibidi dakika za mwisho.

Inasema mbichi hiyo kuwa hata mgombea ambae ni Magufuli amevunjika moyo na kumfanya aonekane hana furaha kwani anajiona waziwazi ameshakosa uungwaji mkono na mguu ,kila maamuzi inakuwa ya kubishana kwa maana hakuna umoja ndani ya vikao vyao ni lazima kunatokea migongano jambo ambalo linamshawishi nae ajichanganye na wale wanaotaka CCM ijitoe katika uchaguzi huu ili kuipisha aibu inayowalenga kwenye uso ,wanasikika wakisema bora nusu shari kuliko shari kamili.

Kwa upande wangu nawashauri waepuke shari kamili ,hebu jaribuni kuivuta picha ya kushindwa kwenu ,lazima mtasafiri kila mmoja upande wake na hapo mtakubali kama ndege hairudi kinyumenyume.
 
Naona week end umeianza mapema sana mkuu kwa kubugia bangi nyingi
 
ciber crimal soon on the way jf tutakuwa wahanga wakubwa kwan kira anaandika kwa sababu anataka kuandika hata pasipo na ukweli
 
Naona umepokea kijiti toka kwa yericko ...
 
Duh!! hilo ni limnara la babel halijengeki tena, walipewa neno kutoka kwa Mungu na Mchungaji Kakobe wakamdhihaki na kumtukana matokeo yake ndio haya.
 
Mwiba ... Huko CUF inakuwaje pengo la prof limezibwa na watu 3
 
Last edited by a moderator:
Mwiba yupi huyu?

attachment.php
 
Mm nilidhani anasema ukawa imesusia, ccm haiwezi hata siku moja, mipango yao iko poa kabisa, unajua UKAWA wana kihelehelesana na do maana hata kwenye serikali za mitaa walipiga kelele sana, baada ya hapo walikuwa wanaongeza 17% ili kufika 20%, hata uchaguzi ulopita walipiga kelele sana kumbe ndo chadema walifikisha wabunge 27.
Hiyo ni hali ya kawaida kwenye hizi taasisi ndogo ndogo tena za watu binafsi, tena ukichanganya wabunge wote hata robo ya ccm hawafiki, huwezi kuwa na wabunge 31 UKAWA alafu mnatafuta wabunge 102 kwa wakati mmoja, basi tukubaliane kwamba ccm haipo ila ipo ACT na UKAWA. Ni wajings2 ndo wanaoamini kwamba kuna muujiza kama huo. Mimi naamini wataongeza wabunge angalau wafike 50.
Lakini sishangai sana kwani hata Mwl. Nyerere alishawaasa wapinzani tena kwa lugha nzuri sana, kwamba watafute nafasi za udiwani na ubunge ili wananchi waone kazi zao, atimaye wawaamini, ss bado hawajaaminiwa na wenye nchi. Manake inaonekana urais ni kama nafasi ya mtendaji wa kata vile, ndo maana bado watu hawana imani nao kabisa. ccm haitatokea hata siku moja eti aingie mtu kama Dr. Slaa ns apewe nafasi kubwa kabisa ya kugombea urais, kienyeji hivo, ni vigumu sana watu kuamini hilo, alafu tena mtu mwenyewe wao ndo walisababisha aachie uwaziri mkuu wake kwa sababu ya ufidadi na kumtukana sana tz nzima na walisema kuwa ushahidi wanao, leo wanasema mwenye ushahidi aende mahakamani, ni wajinga2 ndo wanaoweza kuwaamini.
 
Back
Top Bottom