CCM kujirekebisha!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri mbele ya wananchi kwani hali ilivyo, inaonyesha kupoteza mvuto mbele ya wananchi.

Pia amekionya chama chake kuepuka ile dhana ya uchanga wa vyama vya upinzani akidai kua vyama vya upinzani kwa sasa vimekomaa na ndio maana vyaweza toa hatua kali kwa serikali.

Anasema kwa CCM kujisafisha Viongozi maslai wote ndani ya chama anashauri wachunguzwe kwa manufaa ya chama.

Wadau, mimi binafsi napenda sana misimamo ya mh. huyu! Nawasilisha hoja!
 
Mheshimiwa six namkubali sana,lakini sikio la kufa halisikii dawa mkuu utasikia wanamwambia amefanya makosa kukosoa chama nje ya vikao halali hawakosagi cha kusema subiri>tambwe hiza/makamba.
 
mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri mbele ya wananchi kwani hali ilivyo, inaonyesha kupoteza mvuto mbele ya wananchi. Pia amekionya chama chake kuepuka ile dhana ya uchanga wa vyama vya upinzani akidai kua vyama vya upinzani kwa sasa vimekomaa na ndio maana vyaweza toa hatua kali kwa serikali. Anasema kwa CCM kujisafisha Viongozi maslai wote ndani ya chama anashauri wachunguzwe kwa manufaa ya chama.. Wadau, mimi binafsi napenda sana misimamo ya mh. huyu! Nawasilisha hoja!

Viongozi wezi wachunguzwe ili iwe nini? Maswala ya kuchunguzana yamepitwa na wakati sasa wakati mazingira yote ya ufisadi yanaonekana hata na watoto wa shule.

RA ndiye aliyewafikisha hapa swala ni kuamua kumkamata na kumuweka ndani na kumfilisi kwa kuhujumu uchumi pamoja na swaiba wake EL na JK maamuzi haya ndio Watanzania tunataka sio ngonjera, hawa watu watatu wamelihujumu taifa hatuwezi kila siku kuzunguka mbuyu wakati wezi walioiba mchana kweupe tunawafahamu.

Tume ngapi zimeundwa na kwa sababu hawa watatu ndio masteering hawafi. Watanzania tusikubali kupumbazwa na hawa mahayawani.
 
Hiki chama km kingekuwa kinawapa vipaumbele makada wake wazalendo au basi kusikiliza mawazo yao naimani kingekuwa imara, alafu haka kamchezo kao ka Rais kuwa mwenyekiti wa chama ndio limewafikisha hapo walipo hasa ktk kipindi hiki, coz madudu yaliyotendeka serikalin ndio hayo haya yaliyopo ktk chama chao.

Potelea mbali ududu wao na ukosefu wa ubunifu wa viongozi wake, hiki chama hakina mapokeo mazuri kwa wananchi, thats why badara yakujibu hoja za CDM kwa wananchi wao wanakimbilia ktk dola!
 
Six is right but yet, he's another hypocrite. Wakusimamia kukisafisha ni nan? Si niyeye alieua hoja ya Richmond bungen? Anadhan tumesahau? Na hoja yakumfukuza Zitto si aliikubali?

Alimfukuza Cheyo pia alipoongelea wananchi waliokufa na kemikali zilizotililishwa na wawekezaji walioletwa na mafisadi. Leo hii kajisahau?
 
Six is right but yet, he's another hypocrite. Wakusimamia kukisafisha ni nan? Si niyeye alieua hoja ya Richmond bungen? Anadhan tumesahau? Na hoja yakumfukuza Zitto si aliikubali? Alimfukuza Cheyo pia alipoongelea wananchi waliokufa na kemikali zilizotililishwa na wawekezaji walioletwa na mafisadi. Leo hii kajisahau?

No one under the earth brother is complete!!!; at least he (six) can dare!!! who else in ccm??!!!
 
samaki mmoja akioza wote wameoza.yamewashinda 50yrs,so usitegemee kipya kutoka ccm.tujipange kwa ukombozi wa nchi yetu.
 
mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri mbele ya wananchi kwani hali ilivyo, inaonyesha kupoteza mvuto mbele ya wananchi. Pia amekionya chama chake kuepuka ile dhana ya uchanga wa vyama vya upinzani akidai kua vyama vya upinzani kwa sasa vimekomaa na ndio maana vyaweza toa hatua kali kwa serikali. Anasema kwa CCM kujisafisha Viongozi maslai wote ndani ya chama anashauri wachunguzwe kwa manufaa ya chama.. Wadau, mimi binafsi napenda sana misimamo ya mh. huyu! Nawasilisha hoja!
Sitta ni Ambilikile Mwasapila wa CCM, utaona watakavyomtafutia hatia kumzima kwa kuhatarisha maisha yao.

Ameshajionyesha yuko ng'ambo nyingine ya CCM na watamwona anajitafutia sifa kugombea urais 2015. Subiri utawasikia ccm ambao fikra zinazodumu ni za mwenyekiti wao tu.
 
je samwel sita anataka uraisi? Ataweza kuwa Rais kweli? Binafsi nampenda kwa hoja zake za kipekee, zisizoendana na kauli za viongozi wa chama chake!
 
Hakuna jambo jepesi kwa ccm iwapo wameshindwa wao wenyewe, wanawakumbatia wezi kuwa ndo wajumbe wa nec na halmashauri kuu wa chama kuweza kujirekebisha
 
mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri mbele ya wananchi kwani hali ilivyo, inaonyesha kupoteza mvuto mbele ya wananchi. Pia amekionya chama chake kuepuka ile dhana ya uchanga wa vyama vya upinzani akidai kua vyama vya upinzani kwa sasa vimekomaa na ndio maana vyaweza toa hatua kali kwa serikali. Anasema kwa CCM kujisafisha Viongozi maslai wote ndani ya chama anashauri wachunguzwe kwa manufaa ya chama.. Wadau, mimi binafsi napenda sana misimamo ya mh. huyu! Nawasilisha hoja!

Six anaona mbali sana, ila hawa wengine loliondo kwanza, labda itawezekana:smash:
 
Back
Top Bottom