Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,162
- 27,197
CCM imetangaza kuitisha Mkutano Mkuu wa dharura siku ya jumamosi bila kuwekwa wazi agenda za mkutano huo.
Hii ni kwa mara ya kwanza katika historia ya chama hicho hasa kwa mkutano mzito kama huo wenye wajumbe zaidi ya elfu 2 nchi nzima.
Makatibu wa mikoa na wilaya wameagizwa kufanya maandalizi kwa maana ya kumbi za mikutano na vifaa vya mawasiliano.
Binafsi kwa tathmini fupi sana niliyoifanya mkutano huo hautakua na tija kwa kuwa mazingira yetu hasa kwa upande wa sayansi na teknolojia tunayajua.
Ushauri wangu ni Bora mkutano usogezwe mbele lakini Kila mjumbe apate kuhudhuria yeye mwenye kikao cha mkutano mkuu ni kikao kizito kinachotoa maazimio mazito.